Mchepuko oyeee!

Mchepuko oyeee!

mimi nilitegemea watu kama nyinyi baba zetu au mama zetu ndo mtufundishe sisi vijana kuwa na maadili na kujiheshimu na ndoa zetu lakini ndio kwanza mnajisifia kwa kufanya uzinzi ila ndo maana mimi mtu siku hizi nikiona anaoa au anaolewa namuonea huruma ....fuvk yuo and him and your husband cause his stupid how the fucvk he didnt even realize you screw another man for all these years.wanawake ni watu wa hovyi ndio maana mumeumbwa kwa ajili ya ngono na sio kingine hapa duniani
Sasa mzee umesema mwenyewe wameumbwa kwa ajili ya ngono sasa povu la nini tena wakati mwanamke anatimiza wajibu wake? 🤣🤣🤣🤣 Wee u atakiwa uombe nawe upewe
 
Habari wanajamvi,

Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.

Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.

Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.

Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.

Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.

Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.

Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.

Karibuni.
R I P SAID. hivi bastola ya Said ilipatikana nayo kweli? Na itarithiwa na upande wa mke au mume?
 
Kwa hiyo na wewe mume wako haumpi mashamsham unampa huyo mchepuko wako, na mume wako nae anatoa mashamsham kwa mchepuko wake.

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
heshima muhimu, na kwataarifa yako hata kunihisi hawezi hata simu nimoe siku nzima hana atakachopata.
Kuna vitu vingine vinaangaliwa kwa mwanamke anaye cheat sio simu peke yake.

Unajua kukinai tendo na mume wewe?

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
1 Kor 6:9 SUV​

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
 
je kabla hapo huyo mumeo alikuwa hakuridhishi?
shida siku hz watu wakishaingia katika ndoa hujifanya style flanflan hawazitaki xo hii nayo inapelekea kupunguza munkari wa tendo.
kasi ya upendo na style na mapenzi mliokuwa nayo wakati wa uchumba ndio hio hiyo mnatakiwa muishi nayo katika ndoa mpk mnakufa. hutokuja kutafta mchepuko.
pia ukijiangalia ww kuna vitu unampa hawara ambavyo humpi mumeo
 
Haya mambo ya mitandaoni bana unaweza kudhani mleta mada ni demu kweli kumbe ni dume la mbegu linachezeya akili za watu
 
Kuna wakati kuwa mjanja ndio huwa Ujinga wenyewe....

Mleta uzi unaendeleaje na Mchepuko..??? hakika kupiga risasi 7 mwanamke kama huyu ni sawa tu na kumfuta vumbi....Hazitoshi
 
Dawa yako inachemka mbwa mzinifu weee.......yaani unajisifia kwa uasherati .??...
 
Back
Top Bottom