🤣🤣🤣🤣Aisee amka utajikojolea sasa hivi.
Nimekua offline JF bado watu wanatuletea chai dah ...nimelia sanaBora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
Jf Ina matani sana, sheikh umetoka kwenye kuuza odds sa ivi unahonga ma V8, jf unachagua tu unataka kua nani