Mchepuko anataka anizalie mtoto

Sio akuzalie mtoto bali anataka azae mtoto wake, au bado hujajua kuwa watoto ni wa mama zaidi kiuhalisia?.
 
Yapi mambo unayaweka sawa?Wewe ni jinga.Kwa taarifa yako hii minungayembe/midangaji/vicheche wanapenda kuzaa na waume za watu lakini mbunye wanachapwa na vijinga vijinga vya mitaani kuzichoropoa,lakini kuzaa wanapenda kuzaa na waume za watu.Fanya utafiti mitaani kwenu ulizia waliozaa wamezaa na visharobaro vyenzao au waume za watu.Jibu kwa kiasi kikubwa ni waume za watu.

Hawa wanafaa kupigwa mihogo tu,tumia ndom au mwaga nje ingawa ni mtihani kwa kutumia akili ya kuzaliwa.

Acha umbuzi wewe mwanaume suruali.
Ni kweli mkuu,jibu nililompatia mpaka sasa hivi ni kuwa kuna mambo nayaweka sawa kwanza ndipo nitekeleze wazo lake
 
Hahah...

Kama nakuona unavyoenda pokelea simu chooni au nje...

Rule numbero uno, mchepuko hapaswi kujua namba yako iliyozoeleka wale huwa namba zao zinawekwa kwa vitochi...hakuna whatsapp wala sijui instagram...
Ni kweli mkuu uko sahihi,kwa sababu kuna muda mwingine huwa anapiga simu usiku mkali na kuniuliza niko na nani
 
Sio akuzalie mtoto bali anataka azae mtoto wake, au bado hujajua kuwa watoto ni wa mama zaidi kiuhalisia?.
Ni kweli mkuu,nadhani kukiwa na utaratibu mzuri wa matunzo atakuwa upande wa baba
 
Hahah...

Kama nakuona unavyoenda pokelea simu chooni au nje...

Rule numbeo uno, mchepuko hapaswi kujua namba yako iliyozoeleka wale huwa namba zao zinawekwa kwa vitochi...hakuna whatsapp wala sijui instagram...
ha ha ha ha nimecheka sana mkuu
 
Don't try this mkuu

Hapo kwenye malezi ndio ataleta habari ambazo hujawai zisikia toka uzaliwe
Kama anafaa kwa matumizi endelea tu kujipatia kilicho bora at your own Risk ila swala la mtoto zaa na mke wako
Thank me later
Nimependa hiyo "at your own risk". Nimebaki najichekea mwenyewe yaani. Vinginevyo huyo bwana akijaribu tu kupata mtoto ndio utakuwa mwanzo wa kuvurugika kwa familia yake. Kila huyo mwanamke akihitaji kitu lazima amtimizie vinginevyo atakuwa anatishia ku expose issue kwa mkewe.
 
Kumbe hapo sasa nimeelewa lakini kwa mwanaume kuacha utamu inataka moyo sana yani kuacha mchepuko ila hapo mwenyewe afanye maamuzi magumu tu
Bi mdogo ameshamwambia hapo lazima aegeshee,so hiyo mimba ataipata tu! La muhimu ni amuache kabisa.. akimbie hiyo laana itamtafuna!

Amsikilize Bill na mistari amemuwekea.
 
Wewe jamaa una akili sana. Kula Tano kama nyogeza ya like nilokupa.

Hapa watu wanakazana kuuliza ushauri issue za kijinga. Kuja na mawazo ya ujenzi wa nchi na kuongeza kipato hakuna
Popote ulipo agiza kinywaji nakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…