Mchepuko anataka anizalie mtoto

WE ZAA NAE KWAN KUZAA MTOTO NNJE NIDHAMBI? ME NAONA HAKUNA TATZO WE ZAANAE AFU UTAMUOWA BAADA YA KUPATA MTOTO
 
Kama una namba ya simu ya Samson mnadhiri wa Mungu mpigie umuombe ushauri juu ya wanawake anaweza kukushauri zaidi
 
Kama una namba ya simu ya Samson mnadhiri wa Mungu mpigie umuombe ushauri juu ya wanawake anaweza kukushauri zaidi
ha ha ha ha ha haya maandiko huwa yanafundisha sana,sema ni uzembe wetu kutokuyafuatilia
 
Huo ni mtego bro, be carefully
 
Nikweli mkuu
 
Kwa ushauri uliopewa humu,nadhani sasa umejua nini cha kufanya na huyo mchepuko wako
Ni kweli mkuu,ushauri umekuwa ni wa busara na maamuzi ninayoyachukua ni kutokumuachia protein itengeneze mmea.Ila nitakuwa nakula taratibu
 
Usikubali Ndugu..atakuja kuleta fujo huko mbele....guaranteed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…