Safi sana tena huyo dada hajakomaa vizuri,
utakuta hapo alikua anamwambia mchepuko i love you i'll marry you etc
leo hii anambadilikia na ningekua mie huyo mchepuko namwaribia mpaka kwa mke mtarajiwa,
wanaume jifunzeni kutuliza dushelele zenu,
jamaa alitaka kumficha ila baada ya binti kumwambia ana mimba ikabidi amueleze kuwa anataka kuoa. hapo ndio mchepuko amekomaa haiwezekani ndoa ifanyike wakati yeye yupo. nadhani jamaa hakuwahi kumweleza dada kama ana mchumba.
Asee!!? Yaani watoto wa kiume wamepatwa na nini siku hizi,yani la kusimamia msimamo wako unalalamika? Usipo muoa unakufa au? Au nyie ndo mnategemea ndoa ili maisha yanyoke,maana sioni tatizo la muolewaji kujua ati. Watu wanaacha wake waliozaa nao watoto ili wafurahishe nafsi sembuse mchepuko wenye mimba? Ebu tumieni vichwa vyenu vizuri muache kulalama na kusingizia kulengeshewa na kina dada maana munawapa kichwa wenyewe.
michepuko mingine hiiii sijui mbegu gan hz mie nashangaaa mademu eti linakulilia mfyuuuuuuu
jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.
wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko). mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.
jamaa analia kama dame hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.
me kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?
Hapa hakuna cha dilema wala nini,kwa sababu huyo mwenye ujauzito hata akilazimisha kuolewa ni wazi kuna mwingine anayependwa zaidi yake,we hii unaichukuliaje kama kweli ni mdada unaejielewa? Hivi baadae ikiwa ni visa na mikasa mpaka kuachana kuna kusema ningejua tena? Mimi hii nisingewaza sana bali kusimamia uamzi wangu. Harafu kuanza upya muda mwingine si ujinga.umeongea kwa hisia sana. ni kwamba ulishaeksipiensi na ukafanya kama ulivyosema au ni ile ya waswahili kusema "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake na kiatu usichovaa hujui kinavyobana? Ukimwacha mwanamke mliyeahidi kuoana nafsi itakuwa na furaha? ukimuoa uliyekuwa na ahadi nae na ukamwacha uliyemdanganya na mtoto ambaye ni damu yako nafsi itakuwa na furaha? unafahamu kitu inaitwa kuwa kwenye mtanziko? kwa taarifa yako saa hizi nafsi ya huyu kaka ishakaa pembeni inasubiri akili iiamulie.
tatizo mchepuko unaofia matunzo so wakae mchepuko aseme anataka sh.lets m20 afu aache hao malaya wafunge ndoa maana huyo unaemsema mchepuko ndo mke haris huyo wa masomon ndo mchepuko
Mbona hiyo tarehe mchumba aliyorudi haijafika?
Hapa hakuna cha dilema wala nini,kwa sababu huyo mwenye ujauzito hata akilazimisha kuolewa ni wazi kuna mwingine anayependwa zaidi yake,we hii unaichukuliaje kama kweli ni mdada unaejielewa? Hivi baadae ikiwa ni visa na mikasa mpaka kuachana kuna kusema ningejua tena? Mimi hii nisingewaza sana bali kusimamia uamzi wangu. Harafu kuanza upya muda mwingine si ujinga.
Hata mimi nisingekubali.