Hapa ndo huwa nashindwa kuwaelewa wanaume...kumfanya mtu wa kuzugia duh...mchepuko na ukomae kabisa
Koh! Koh! Koh! Koh!
wewe kila anayekufanya anakuowa?!!
kuna wakati mwingine se ni kwa ajili ya starehe tu, watu mmetongozana kustareheshana, hamjaambiana mambo ya kuowana lakini jitu linajirengesha mimba ili mwanaume asiwe na pakutokea, hapo unakuwa unamlaghai na kumchezea mwanaume!
Kwanz unaanza kustarehe na "Jitu".na wewe unapoachia achia mbegu zako ovyo ovyo unakua unaona sifa ee....nautakia mchepuko mkomao mwema
na ulivyo toyo mpaka umevadilishwa usikute umedanganywa kuolewa ...toyoyo wewe...
kwanini mkuu? ifike mahali wanawake mjue kutofautisha kati ya mapenzi ya kweli na uongo. msikurupuke
ahahahaha, naona swali l mekwa gumu!
Kumwaga mbehu siyo tatio, zisipomwagwa kwa mwanamke zitamwagwa tu bauni, mbeg za mwanamume ni nyingi sana ndiyo maana hata ukizibana vipi zitatoka hata usingizini, sembse kwenye starehe ya wawili mnaambiana kabisa tukapime ili tufaidi nyama kwa nyama, matokeo yake mwenzako anaacha kumeza tule tuvidonge tudogotudogo maksudi kabisaa.
ukweli ndoa nyingi za siku hizi wanaume wanategwa tu, ni ndoa chache sana ambazo mwanamume alimfuata mwanamke na kumwambia "nakuoenda naomba nikuowe tuishi pamoja tuzae watoto", nyingi huwa zinaanza kama watu wanaostareheshana ambao hawajaambiana lolote kuhusu mahsiano ya kudumu, mwisho wa siku mwanamke anajimilikisha na kuona huyo mwanamume ni wake, anamtegea mimba!
Kila ajizaniae amesimama aangalie asidondoke...........mwambie ivyo tuu yatosha
Swali lipi? Kua kila alienifanya? Alienifanya kanioa kaka...unapopanda mbegu tegemea mavuno? Mimba Imeingia iwe Maksudi au si Maksudi bado you are responsible. ...
Safi sana tena huyo dada hajakomaa vizuri,
utakuta hapo alikua anamwambia mchepuko i love you i'll marry you etc
leo hii anambadilikia na ningekua mie huyo mchepuko namwaribia mpaka kwa mke mtarajiwa,
wanaume jifunzeni kutuliza dushelele zenu,
Mpaka mimba bado siyo ukweli? Na nyie muwe siriaz siyo kuchezea watoto wetu. Hapo ni pingamizi tu.