lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
Ndo ivo tena,"kidani cha dhahabu hakifai kwenye pua ya nguruwe".
mkuu waombe msamaha wabongo kwa kuwafananisha na pua ya nguruwe
Ndo ivo tena,"kidani cha dhahabu hakifai kwenye pua ya nguruwe".
Vile vioo nimevipima vipo kama vya milango ya benki jiwe alifui dafu na risasi pia.Hilo la vioo nililiona nikawaza kama wewe. Vile vioo havina maisha marefu.
Vile vioo nimevipima vipo kama vya milango ya benki jiwe alifui dafu na risasi pia.
Hizo ni ofisi za mabosi wao ndio maana zina vioo sawa mkuu..
kwa hili pia naweza kusema STRABAG wamechemka sana. iko hivi kuna hivi vituo vya kisasa katika njia mpya za mabasi yaendayo kasi zinazojengwa na kampuni ya STRABAG baadhi ya hivi vituo vimejengwa na kuwekewa madirisha na milango ya alluminiuma na VIOO vizuri tu, kuna kituo kipo pala ubungo urafiri karibu na big brother na kingine kipo maeneo ya kimara hivi vituo vimewekewa madirisha na milango mizuri ya VIOO.sasa tatizo ni kwamba navyo wajua wabongo tusivyo wastaarabu walah vile vioo havina maisha marefu vitarushiwa mawe na kuvunjwa vyote ni bora wangeweka nyavu kama walivyoweka katika baadhi ya vituo vyao. ila tukubaliane hapa lazima mateja watavipopoa vioo vyote.KWA HILI STRABAG MKAE CHINI NA KUTAFAKARI UPYA.
Mbona magorofa ya vioo yapo mengi hatu yapopoi? hata hayo magari yatakayo kuja siyatakua na vioo nayo tutayapopoa? mbona magari haya kwenye foleni yote yana vioo hatuyapopoi?
! Ni kweli ! "huu mradi kuna ubabaishaji mkubwa kwa ujumla!" Barabara gani hizi hazina mitaro / mifereji ya kusafirisha maji taka!
Acha kupotosha mitaro inapita chini kwa chini.
Kwa hili pia naweza kusema STRABAG wamechemka sana. Iko hivi kuna hivi vituo vya kisasa katika njia mpya za mabasi yaendayo kasi zinazojengwa na kampuni ya STRABAG baadhi ya hivi vituo vimejengwa na kuwekewa madirisha na milango ya alluminium na VIOO vizuri tu, kuna kituo kipo pala Ubungo urafiri karibu na big brother na kingine kipo maeneo ya Kimara hivi vituo vimewekewa madirisha na milango mizuri ya VIOO. Sasa tatizo ni kwamba navyowajua wabongo tusivyo wastaarabu walah vile vioo havina maisha marefu vitarushiwa mawe na kuvunjwa vyote ni bora wangeweka nyavu kama walivyoweka katika baadhi ya vituo vyao. Ila tukubaliane hapa lazima mateja watavipopoa vioo vyote.
KWA HILI STRABAG MKAE CHINI NA KUTAFAKARI UPYA.
Kwa hili pia naweza kusema STRABAG wamechemka sana. Iko hivi kuna hivi vituo vya kisasa katika njia mpya za mabasi yaendayo kasi zinazojengwa na kampuni ya STRABAG baadhi ya hivi vituo vimejengwa na kuwekewa madirisha na milango ya alluminium na VIOO vizuri tu, kuna kituo kipo pala Ubungo urafiri karibu na big brother na kingine kipo maeneo ya Kimara hivi vituo vimewekewa madirisha na milango mizuri ya VIOO. Sasa tatizo ni kwamba navyowajua wabongo tusivyo wastaarabu walah vile vioo havina maisha marefu vitarushiwa mawe na kuvunjwa vyote ni bora wangeweka nyavu kama walivyoweka katika baadhi ya vituo vyao. Ila tukubaliane hapa lazima mateja watavipopoa vioo vyote.
KWA HILI STRABAG MKAE CHINI NA KUTAFAKARI UPYA.
Vile vioo nimevipima vipo kama vya milango ya benki jiwe alifui dafu na risasi pia.
Jamani embu tuchangie mada kama GT ,tusiwe kama watu wa fb na inst ,tulishasema STRABAG wanajenga kwa mujibu wa design ,boq na specifications sasa boq inasema aweke vioo na amepewa hela ya kuweka vioo sasa ulitaka aweke magunia ili baadae uje ulalamike kuwa ufisadi umefanyika alafu embu tafuteni structure ya huu mradi siyo mradi wa kitoto ni mradi mkubwa tena mi naona hawautendei haki , hivyo vituo vinatakiwa viwekewe AC,flat screen kuwe na wash room attendants kuwe na passenger seat za kisasa yaani tusipende vitu vya bei rahisi sasa ninyi mnataka kuturudisha enzi za ukoloni eti kuweka waya kwenye kituo hiyo sikubaliani nayo