Mchele wa Tanzania Wazuiwa Kuingia Kenya

Wakenya wana matatizo yao,ila na sisi wabongo diplomasia yetu ipo chini sana hasa awamu hii.Hiki sio kitu kizuri ukifikiria nje ya box. Tujitahidi kuweka uhusiano mzuri na majirani na nchi zingine zote.kutaifisha ng'ombe.kuchoma vifaranga na nyingine nyingi sio busara hasa kwa karne hii inayoweka diplomasia mbele.Kama Marekani na Korea kaskazini wanaweka diplomasia sisi vimaskini badala ya kusaidiana sisi tunatunishiana misuli,tunampa nafasi shetani(mabepari)
Hujui Kenya daily anawaza kuihujumu Tanzania ili yeye azidi dominanate uchumi wa EAC.
 
Kwa nini Tanzania tukubali kuhujumiwa?ukikubali kihujumiwa ni uzembe na ujinga.Cha msingi ni kuweka maelewano mbele.Ikishindikana kuna hatua za kisheria za kuchukua ikiwa ni pamoja na kuvunja makubalino ya EAC kuhusu biashara ili kodi itozwe sawa na nchi zingine zisizo za EAC.kiufupi ni kwamba lazima tuangalie je,makubaliano yana tija kwa taifa?kama hayana tunavunja.Ila sio mtu tu anaamrisha kwamba sitaki bidhaa hizi na hizi kutoka Kenya.Hiyo sio poa
 
It's a new government regime (the fifth governance) under JJPM, each and everything is under control. Let forget the past my friend.
 
Uchumi umesinyaa kwa asilimia ngapi?
Trade disputes ni vitu vya kawaida kati ya mataifa yenye uchumi sawa na yanayopakana.
Haijaanza leo wala juzi na itaendelea almost as long as the two economies are of the same size, till a symbiotic relationship is established.
US vs Canada
US vs EU
US vs China... ETC.
I don't even think it's newsworthy.
Uchumi wa TZ si sawa na wa Kenya
 
It's a new government regime (the fifth governance) under JJPM, each and everything is under control. Let forget the past my friend.
Under control! by ignoring diplomacy just because our president hate Kenyatta?Is this healthy to our economy and friendship?Lets wait and see! On other side is there any benefits of having EAC?
 
Ha ha ha ha hebu tuachaneni na dhana ya EAC huku kila siku sisi ndo tunapigwa. Ni juzi tu hapo Tanzania ilitengwa na wanachama wenza mpaka kufikia kujadili mambo makubwa ya kiuchumu kama reli ya kisasa mpaka kufikia kumuona Jk ndo mbaya wao.

Ni wajibu wa kila nchi kulinda na kukuza uchumi wake ikiwemo Tanzania. Sidhani kwa huruma huruma zetu hizi zitatufikisha popote economically.

Jaribu kufikiria kama Kenya iliweza kuhujum viwanda vyetu ili wao wazalishe bidhaa tena wakitumia malighafi kutoka Tanzania huku tukigeuzwa soko Lao ha ha ha ha nasema hiviiiii Magufuli endelea kukaza mpaka hapo tutakapo kamilisha na kuiishi kauli yetu ya Tanzania mpya ya viwanda yenye uchumi wa kati.

N:B We're in Transitional period towards Industrialized nation so let's take all challenges am means to our destiny.
#MATAGA.
 
Miafirika! Halafu mchele wa plastiki kutoka China unapita bila.........!
 
Na sisi tukizuia bidhaa zao hao wafanyabiashara wa Kenya watafaidika? Yani wewe badala ya kuilaumu Kenya kwa kuzuia masoko yetu wewe unatake side ya Kenya?

Watanzania wa aina yako wanastahili adhabu kali sana
Mazuzu yote ya chadema ndivyo yalivyo
 
Ha ha ha ha hebu tuachaneni na dhana ya EAC huku kila siku sisi ndo tunapigwa. Ni juzi tu hapo Tanzania ilitengwa na wanachama wenza mpaka kufikia kujadili mambo makubwa ya kiuchumu kama reli ya kisasa mpaka kufikia kumuona Jk ndo mbaya wao.

Ni wajibu wa kila nchi kulinda na kukuza uchumi wake ikiwemo Tanzania. Sidhani kwa huruma huruma zetu hizi zitatufikisha popote economically.

Jaribu kufikiria kama Kenya iliweza kuhujum viwanda vyetu ili wao wazalishe bidhaa tena wakitumia malighafi kutoka Tanzania huku tukigeuzwa soko Lao ha ha ha ha nasema hiviiiii Magufuli endelea kukaza mpaka hapo tutakapo kamilisha na kuiishi kauli yetu ya Tanzania mpya ya viwanda yenye uchumi wa kati.

N:B We're in Transitional period towards Industrialized nation so let's take all challenges am means to our destiny.
#MATAGA.
Wewe Watanzania kama walikubali kupigwa alaumiwe nani?kama ukiingia makubaliano na mtu ya kiunyonyaji alaumiwe nani?Magufuli si ndo alisherekea sana makubaliano hayo wakati yanaingia huku akigonga meza kwa nguvu zote?Au hakuwa yeye?Anyway ukiondoa wa kumlaumu ni kila mtu akiamua kufanya biashara na mambo mengine kivyake nini uzuri wake na ubaya wake?Je,nani anayemtegemea mwenzie kati ya Tanzania na Kenya na kwa nini?Je,tunajitosheleza kwa kila kitu kuzidi Kenya?Viwanda vipya vina uhakika wa kuzalisha na kukua?kilimo cha ndani kina uhakika wa soko?biashara ya ndani inajitosheleza?kilimo chetu kinatutosha hatuhitahi kuingiza wala kutoa?
 
Najua tunategemeana tena zaidi ya sana japo kwa sasa uhusianao umebadilika haswaaa hasa pale Kenya anaposhindwa kutambua kua sera na sheria zinasimamiwa kikamilifu na kwa maslahi ya nchi.
 
Ndo maana kama ulinielewa kwenye post za kwanza nilisema kwamba ni vema kama Tanzania tunaona hakuna usawa wa kibiashara tunatakiwa tukae na wenzetu tuelewane nao.Wakikataa tunabadili sheria ya makubalino ya kibiashara ya EAC ambayo imebase kwenye kodi.namaanisha kodi zilipwe kama nchi zingine tu.Au tunajitoa kabisa EAC kama tulivyojitoa COMESA.Sio hayo tu serikali ihakikishe mikataba yote ambayo inadhani haina tija kwa nchi,iangaliwe upya hata kamanishasaini wakuna njia za kisheria.Lakin tukianza kutunishiana misuli bila hata kuzungumza kila mtu anafanya vituko vyake hata waziri wa mambo ya nje unakuta hajui.sasa hapo tutakuwa tunabomoa sio kujenga.Tukiamua kufanya kitu tusifanye nusunusu.
 
hawa wakenya ni wanafiki Sana dawa yao hawa ni kuchapa tu ndio watakua Na heshima
 
Humu ndani watu wanajipiga vifua buree...ishu ni kuwa Kenya iko mbele kiuchumi. Uzuri ni kuwa Tanzania nayo inafuta unyo unyo. Hio pdf inaonyesha kuwa Kenya iko ranked number 5 in Africa kwa utajiri. Details kadhaa soma hio ripoti ujue uchumi umefikia wapi baina ya Kenya na Tanzania ikiwemo nchi nyingine za Africa
 
Attachments

Ndo maana kama ulinielewa kwenye post za kwanza nilisema kwamba ni vema kama Tanzania tunaona hakuna usawa wa kibiashara tunatakiwa tukae na wenzetu tuelewane nao.Wakikataa tunabadili sheria ya makubalino ya kibiashara ya EAC ambayo imebase kwenye kodi.namaanisha kodi zilipwe kama nchi zingine tu.Au tunajitoa kabisa EAC kama tulivyojitoa COMESA.Sio hayo tu serikali ihakikishe mikataba yote ambayo inadhani haina tija kwa nchi,iangaliwe upya hata kamanishasaini wakuna njia za kisheria.Lakin tukianza kutunishiana misuli bila hata kuzungumza kila mtu anafanya vituko vyake hata waziri wa mambo ya nje unakuta hajui.sasa hapo tutakuwa tunabomoa sio kujenga.Tukiamua kufanya kitu tusifanye nusunusu.
Nakubaliana nawe kaka, ila Ikumbukwe awamu zilizopita watu wamekua wala rushwa na wabadhirifu sana kwa Mali za serikali. Tabia hiyo imelitumbukiza taifa mahali pabovu kias kwamba dhambi ilifikia kuchekewa na sio kulaaniwa.

Katika serikali zilizopita, mtu akiiba serikalin alionekana mjanja, kigogo hata kuheshimiwa zaidi katika jamii kwa kua tu yeye kajimilikisha fedha za umma ambazo zingetumika kuleta huduma mbali mbali kwa jamii.

Awamu hii imeamua kujitathmini na kuchukua hatua kwa maslahi ya umma na sio mtu mmoja mmoja.
 
Ukitaka kutatua tatizo unatakiwa kuangalia chanzo.
tumia dakika mbili kujiuliza kwa nini sasa Marekani imeanzisha 'vita ya kibiashara ' na wabia wake wakubwa. ukifanya hivyo utapata sababu ya msingi ya tukio zima unalozungumzia.
 
Nakubaliana nawe kaka, ila Ikumbukwe awamu zilizopita watu wamekua wala rushwa na wabadhirifu sana kwa Mali za serikali. Tabia hiyo imelitumbukiza taifa mahali pabovu kias kwamba dhambi ilifikia kuchekewa na sio kulaaniwa.

Katika serikali zilizopita, mtu akiiba serikalin alionekana mjanja, kigogo hata kuheshimiwa zaidi katika jamii kwa kua tu yeye kajimilikisha fedha za umma ambazo zingetumika kuleta huduma mbali mbali kwa jamii.

Awamu hii imeamua kujitathmini na kuchukua hatua kwa maslahi ya umma na sio mtu mmoja mmoja.
Nakubali.sasa kama awamu zilizopita kuna makosa zilifanya kwa makusudi au kwa bahati mbaya.serikali ya kizalendo ya sasa ifanye jitihada kurekebisha hayi makosa.Mfano DC anaamua tu kwamba hakuna kuvusha bidhaa fulani kutoka kenya au zambia bila kufuata taratibu sio sawa.Ila tuangalie upya tena kama kuna mahali serikali za nyuma za ccm zilifanya makosa tusahihishe kwa njia iliyo sahihi ya kisheria sio kidikteta.Kwa makampuni ukivunja makubaliano jiandae kulipa fidia mabilion.Najua Magufuli hawezi kumuwajibisha yeyote katika uzembe wa serikali zilizopita maana naye anahusika.Hivyo basi sasa ni wakati wa kupitia yote yaliyopita na kurekebisha.Ila magufuli hataki kufukua makaburi na hawezi.
 
Naunga mkopo hoja mzee.
 
Kuna shehena kubwa ya dawa za mifugo na binadamu na bidhaa zingine kutoka nchini kenya mpaka muda huu zimezuiliwa na Mamlaka ya Chakula dawa na Vipodozi (TFDA)pale mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Tarakea,Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na kutokuwa na vibali kutoka mamlaka hiyo-Gazeti la Jamhuri la Septemba 18 mwaka huu limeandika kwa kina.
 
Uchumi wa Kenya haupo sawa na Tanzania. Kwa takwimu za kiuchumi zinazotambulika kimataifa, uchumi wa Kenya ni mkubwa mara 2 ya uchumi wa Tanzania.

Eti uchumi wakenya ni mkubwa mara 2 ya tz kweli vilaza wapo wengi,Kwa Takwimu za 2018 KENYA INAONGOZA KWA GDP,IKIWA NA $85 BILLION NA TZ NI $56 BILLION NA KWENYE GDP PPP TANZANIA INAONGOZA IKIWA NA $ #177 BILLION NA KENYA $175 BILLION,siku nyingine usiongee porojo bila data.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom