Mchele wa Tanzania Wazuiwa Kuingia Kenya

Mchele wa Tanzania Wazuiwa Kuingia Kenya

Wanasemaga uchumu wa kenya mkubwa kuliko Tanzania hawajafika kenya na kama wamefika wameishia nairobi...kenya kuna njaa sana maisha ni magumu sana sasa wanalalamika nchi inauzwa kwa china deni la taifa kimekuwa kupita kiasi juz wameongeza kodi ya mafuta kwa asilimia 16
 
Uchumi umesinyaa kwa asilimia ngapi?
Trade disputes ni vitu vya kawaida kati ya mataifa yenye uchumi sawa na yanayopakana.
Haijaanza leo wala juzi na itaendelea almost as long as the two economies are of the same size, till a symbiotic relationship is established.
US vs Canada
US vs EU
US vs China... ETC.
I don't even think it's newsworthy.
Kaka kidogo uwe unafatilia mambo kuliko kueka lugha iliyokuja na meli TZ na Kenya tunafanana ukaribu tu Kenya siyo size yetu na US na EU hawapo karibu kwenye ramani US yupo karibu na MEXICO
20180918_003651.jpg
 
Mkuu, GDP (PPP) ya kenya ngapi na Tanzania ngapi weka na source/link ya info zako
Tanzania = 163.14 Billion International Dollars.
Kenya = 162.17 Billon International Dollars.
 
Wanasemaga uchumu wa kenya mkubwa kuliko Tanzania hawajafika kenya na kama wamefika wameishia nairobi...kenya kuna njaa sana maisha ni magumu sana sasa wanalalamika nchi inauzwa kwa china deni la taifa kimekuwa kupita kiasi juz wameongeza kodi ya mafuta kwa asilimia 16
Wewe naona nchini kwako unachekelea hakuna tatizo?jilinganishe na Kenya kwenye huduma za kijamii kama elimu,miundombinu,mawasiliano then angalia huduma za kifedha viwanda nk unalingana nao?
 
Baba jesca bhn mpaka sasa anachelewa nini kupiga chini Kenya zuia KQ na product zote za kenya namaanisha no business between k na tz dumb all Kenyan kwao period
 
It ain't.
Part and parcel of cross-border trading.
Trump anaweka 'tariffs'; Jinping analipiza in kind. No ain't!
Ooh, okay, got it wrong: Trump and Trudeau. No it ain't.
'Newsworthy' yako inust be out of this world!
 
Chanzo ni kwa nini Kenyatta alimshinda Odinga kinyume na matarajio ya Bwana Mkubwa
Ni siri iliyowazi Mukubwa atafanya lolote kulipa kisasi.Angalia yanayowafika Hanspope,Manji,Mbowe,na hata Lowassa kukataa ombi la kurejea kundini
Lakini si Uhuru na Odinga 'walisha-shake' hands, itakuwaje sisi ndio tuendelee kulikomalia jambo hilo?
 
Kaka kidogo uwe unafatilia mambo kuliko kueka lugha iliyokuja na meli TZ na Kenya tunafanana ukaribu tu Kenya siyo size yetu na US na EU hawapo karibu kwenye ramani US yupo karibu na MEXICOView attachment 869375
Nondo nyingi za maana zimeandikwa kwa kiingereza.
Kama ilivyokuwa kiarabu na kilatini in medieval era (hivi utaandikaje kiswahili neno hili??).
Kwa hiyo usione aibu, pia usipende kuangalia mambo juujuu.
US na EU are the biggest and most sophisticated economies, kwa hiyo umbali ni negligible factor. Ni sawa na wewe ilivyo rahisi kufika Nirobi kuliko kufika Nachingwea kutoka Dar.

Pia, ufahamu kuwa Kenya ina bajeti kubwa kuliko Nigeria. Ingawa Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Kenya.
Bajeti ni matumizi kutokana mahitaji and not necessarily ukubwa wa uchumi. Unaweza kuwa na bajeti ya milioni 30 kwa mwaka wakati nchi ina madeni ya 50bn$.
Yaani una GDP ya 75B$ na deni la 50B$ hiyo ni faida au utumwa?
Angalia issues kwa undani.
 
Trump anaweka 'tariffs'; Jinping analipiza in kind. No ain't!
Ooh, okay, got it wrong: Trump and Trudeau. No it ain't.
'Newsworthy' yako inust be out of this world!
In 2002, G.W Bush imposed tariffs on China steel.
2009, Obama did the same.
2018, Trump and you think it's something new? OOOh ok, Snoop smoked weed with Whiz Khalifa ... So?
Why don't you sit back and read the TPP that Obama wanted to establish?
These issues are designed by Department Of Commerce and The Foggy Bottoms. THEY ARENT NEWSWORTHY.
 
Nondo nyingi za maana zimeandikwa kwa kiingereza.
Kama ilivyokuwa kiarabu na kilatini in medieval era (hivi utaandikaje kiswahili neno hili??).
Kwa hiyo usione aibu, pia usipende kuangalia mambo juujuu.
US na EU are the biggest and most sophisticated economies, kwa hiyo umbali ni negligible factor. Ni sawa na wewe ilivyo rahisi kufika Nirobi kuliko kufika Nachingwea kutoka Dar.

Pia, ufahamu kuwa Kenya ina bajeti kubwa kuliko Nigeria. Ingawa Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Kenya.
Bajeti ni matumizi kutokana mahitaji and not necessarily ukubwa wa uchumi. Unaweza kuwa na bajeti ya milioni 30 kwa mwaka wakati nchi ina madeni ya 50bn$.
Yaani una GDP ya 75B$ na deni la 50B$ hiyo ni faida au utumwa?
Angalia issues kwa undani.
"Nigerian President Muhammadu Buhari signed the country’s budget of 9.12 trillion naira today on Wednesday."
Ukubwa wa bajeti ya Kenya kwa Nigeria nahisi utakuwepo pia na 1$=361.50 naira piga mwenyewe kama bajeti ya Kenya ni kubwa kwa nigeria

Bajeti ya kenya na uchumi wa Kenya ni mkubwa kwetu two times plus wao wanatekeleza miradi mikubwa zaidi wakati sisi tunajaribu kutekeleza na wao bajeti yao haitumiki kwenye uchaguzi km sisi karibia kila mwezi tunafanya uchaguzi so pesa yao inaenda kwenye maendeleo zaidi

Na cha ziada sisi hatuna hata pesa ya kulipia matangazo ya live ya bunge wao wanazo mpk baadhi ya kesi wanazionyesha live toka mahakamani so still they are better than us kwe uchumii
 
Wamezuwia kwa sababu kwetu hautoshelezi! Ref: Sukari ya Zanzibar.
 
Chanzo cha haya yote ni nani? Ni Wakenya au sisi Watanzania? Siku za huko nyuma kwa nini hayakutokea?

Ukitaka kutatua tatizo unatakiwa kuangalia chanzo. Na ukitaka kupiga hatua au kuzuia mabaya ni lazima kwanza utazame upande wako, na kutafakari pale ulipokosea kabla ya kuwalaumu wengine.


Hujui chochote wewe! Wakenya wameanza figisu zamani tu; umeona ipo Tusker bia ya kenya but Kilimanjaro bia yetu hairuhusiwi kuingia kule
 
Na sisi tukizuia bidhaa zao hao wafanyabiashara wa Kenya watafaidika? Yani wewe badala ya kuilaumu Kenya kwa kuzuia masoko yetu wewe unatake side ya Kenya?

Watanzania wa aina yako wanastahili adhabu kali sana
Utazuia unauwezo wa kuvitengeneza vyakwako..? Au unataka kushindana na viwanda vyako vya cherehani
 
In 2002, G.W Bush imposed tariffs on China steel.
2009, Obama did the same.
2018, Trump and you think it's something new? OOOh ok, Snoop smoked weed with Whiz Khalifa ... So?
Why don't you sit back and read the TPP that Obama wanted to establish?
These issues are designed by Department Of Commerce and The Foggy Bottoms. THEY ARENT NEWSWORTHY.
Don't move goal posts: not dealing with 'new' here.
"They aren't newsworthy"; but you still read or watch about them. What would that be?
If something hitting your bottom line (pocket) not being newsworthy; wonder what would be newsworthy to you?
 
Mwaka jana Mahindi yalinliza!
Nikaamua kwenda IFAKARA, Daah kweli Ng'ombe wa Maskini hazai!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom