Mchele wa Tanzania Wazuiwa Kuingia Kenya

"Nigerian President Muhammadu Buhari signed the country’s budget of 9.12 trillion naira today on Wednesday."
Ukubwa wa bajeti ya Kenya kwa Nigeria nahisi utakuwepo pia na 1$=361.50 naira piga mwenyewe kama bajeti ya Kenya ni kubwa kwa nigeria

Bajeti ya kenya na uchumi wa Kenya ni mkubwa kwetu two times plus wao wanatekeleza miradi mikubwa zaidi wakati sisi tunajaribu kutekeleza na wao bajeti yao haitumiki kwenye uchaguzi km sisi karibia kila mwezi tunafanya uchaguzi so pesa yao inaenda kwenye maendeleo zaidi

Na cha ziada sisi hatuna hata pesa ya kulipia matangazo ya live ya bunge wao wanazo mpk baadhi ya kesi wanazionyesha live toka mahakamani so still they are better than us kwe uchumii
Piga mahesabu vizuri. hiyo ni 25B$
Mradi upi mkubwa? Si utoe mfano?
Matangazo ya bunge yanaingiza hela au yanatumia hela? Fikiria!
 
Don't move goal posts: not dealing with 'new' here.
"They aren't newsworthy"; but you still read or watch about them. What would that be?
If something hitting your bottom line (pocket) not being newsworthy; wonder what would be newsworthy to you?
I watch MediaOne TV interviews with my brother Zahir.
Now that's some ish I call newsworthy.
 
Halafu watu hao utawabeba mgongoni ww kwl tunazidi kudidimia kimawazo abiria wanaokua kwenye hizo ndege unakuta wa Kenya kumi wabongo 15 waliobaki ni watu tofauti sasa unakua unamkomesha nani hapo zaidi ya kujikomesha ww tu
Tunazo ndege zetu
 
Uchumi wa Kenya haitatokea uwe mara mbili ya Tanzania, uchumi wao ni mkubwa lakini sio kivile jinsi watanzania waishio Kenya wanavyo sema, hizi nchi zote mbili uchumi wao unakaribiana tu ndo maana katika nchi hizi hakuna nchi yeyote inaweza saidia mwenzie pindi kuna tatizo la uchumi katika nchi mojawapo, Kenya na Tanzania 60% ya projects ni loan either katika nchi wahisani,World bank or Bank of Africa , ina maana budget zetu ni kwa ajiri ya kulipa mishahara wafanyakazi na kulipa madeni, so ukubwa wa budget ya Kenya haina effects hata kwa wananchi wake, kama huamini pata shida ya pesa ukiwa Kenya ndo utajua what I mean ,watu wako broke muda wote same same to Tanzania as well as the whole Africa.

Katika sintafahamu hii ya biashara tena kwenye nchi wanachama wa EAC hakuna nchi yeyote inaweza kuwa mshindi baina ya mwingine,hata Burundi akiamua kuzuia bidhaa za Tanzania kwenda kwao bado wafanyabiashara wengi wataumia na kulalamika, ninachosema hapa ni kuwa EAC ni nzuri lakini makubaliano ya biashara yaangaliwe upya,ni kama tuliingia katika mfumo wa biashara sio kwa ajiri ya wananchi wa kawaida kufaidika bali kwa ajiri ya makampuni makubwa na nchi zenye uchumi mkubwa zifaidike na ndo kinatokea EAC, tunajisifu tunaviwanda lakini bidhaa zinazozalishwa Kenya au Tanzania ni chache ambazo ndo zilitakiwa ziflow katika nchi wanachama with visa free/low tax kulinganisha na bidhaa zinazotoka nje, huu ndo mgogoro umekuwepo toka zamani katika nchi hizi wanachama, sasa kumaliza tatizo hili ni nin? piga tax bidhaa zote bila kujali zimezalishwa wapi wananchi waelimishwe wajipange, kwani si kuna watanzania wanafanya biashara kwenda Middle EAC, Congo, china ,EU na USA ,je wanafanyaje hizo biashara? simple.
 
Shida ni pale village elder anapopewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake
 
Wewe naona nchini kwako unachekelea hakuna tatizo?jilinganishe na Kenya kwenye huduma za kijamii kama elimu,miundombinu,mawasiliano then angalia huduma za kifedha viwanda nk unalingana nao?
Muiundo mbinu gani au umeishia nairobi ndio ukasema ndio kenya hii hiyo nairobi umefika slams area kama kibera, huduma za afya mbovu maeneo mengi hamna hata bara bara bado wananchi hawana ardh wengi kwenya ni wapangaji uwez wa kumiliki ardhi hawana juz gavana wa nairobi amekuta mait za watoto zinawekwa kwenye maboksi badala ya mochwari kina mama wanalia uchungu zaid ya masaa kumi...walichotuzi kenya ni kingereza tu na sio kitu cha kujivunua sababu ni lugha..!
 
Mwakajana serikali ya Awamu ya Tano, kwa majigambo makubwa, ilitaifisha ng'ombe wa Kenya na kuchoma vifaranga vya kuku vilivyotoka Kenya.

Wengi tuliona uamuzi ule wa Serikali yetu ya Awamu ya Tano ulikuwa ni kitendo cha aibu ni kinachoweza kufanywa na mtu pekee aliyekosa busara, kwa kuzingatia kuwa Kenya ni jirani yetu na mwanachama mwenzetu katika EAC.

Ubabe ule uliofanywa na Serikali ya Tanzania dhidi ya Kenya, unaendelea kuwaumiza wafanyabiashara wa Tanzania wanaotegemea soko la Kenya. Kwa sasa, kwa kuzingatia ukweli kuwa mzunguko wa fedha katika biashara ndani ya nchi yetu, umesinyaa, baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania, tegemeo lao kubwa limekuwa masoko ya nje ya Tanzania, ikiwemo Kenya. Lakini kwa bahati mbaya kutokana na mahusiano yasiyo mazuri ya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya, Watanzania wanalazimika kulipia maamuzi mabaya ya viongozi wao.

Je, viongozi wa Tanzania, wamejifunza lolote kupitia maamuzi yale ya ovyo yaliyokwishafanyika?

Katika Ulimwengu wa leo, hakuna ubabe. Wewe ukijifanya unajua sana na kudhani wenzako ni wajinga, watakuonesha jinsi walivyo werevu kukushinda wewe.

Ujumbe: Viongozi wetu tafakarini kwa umakini na tumieni akili, hekima na busara, katika kila uamuzi mnaoufanya. Katika Dunia hii, wengi wana akili na weledi lakini hawapigi kelele. Wanaopiga kelele, mara nyingi ni wale wanaotenda kidogo, wanajua kidogo na wana upeo mdogo.

.............

Dar es Salaam. The government revealed on Saturday that Kenya has stopped importation of rice from Tanzania in yet another sign of unending trade wars between the two largest economies in East Africa.

The permanent secretary in the ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Prof Adolph Mkenda, told The Citizen that the Kenyan government stopped the importation of rice from Tanzania over claims of standards and packaging. “We are seeking an explanation [on the ban],” said Prof Mkenda. “We are sure that these are negotiable issues and it is our best belief that they are resolvable.” Apart from rice, there are also other issues that the government of Tanzania is trying to sort out with its Kenyan counterpart.

One is that which involves the 15 lorries carrying wheat flour, which are stranded at the Namanga border post. The trucks were stopped to pass through the border following the decision by Kenyan authorities to ask the owner to clear each lorry afresh.

This is despite the fact that the owner had already cleared 85 lorries, including those stuck at the border, which were bound various cities of Kenya.

The other issue, according to Prof Mkenda, is that involving Bakhresa’s energy drinks product, which the Kenyan authorities overvalue them in contrast to the exact value indicated by the producer.

This has made the product to be unfairly taxed by the Kenyan taxman and cause unnecessary inconvenience to the producer.

The PS also revealed that the government of Tanzania was aware of reports that consignments of beer from Tanzania have been confiscated in Kenya. “We have seen on social media platforms that consignments of beer have been confiscated in Kenya, but our High Commissioner in Kenya is working on the matter,” explained Prof Mkenda.

The aforesaid information surfaced amidst a meeting between Tanzania and Kenya, which among other things, downplayed claims that a trade war between the two states was brewing.

Briefing the media on Thursday, Prof Mkenda and Kenya’s High Commissioner to Tanzania, Mr Dan Kazungu, expressed their optimism that the solution would be found to some unresolved issues, which affect business between the two countries.

Prof Mkenda called upon traders from the two countries to be patient as they were striving to resolve the challenges, which were hindering cross border trade.

There has recently been reports that there is a ‘trade war’ between the two countries basing their reports on incidents perpetrated by the authorities from both sides.

In August, Kenya and Tanzania media reported that some Kenyans had blocked lorries from Tanzania from entering the country as they protested mistreatment of Kenyan traders.

However, the claims were later dismissed by the Kenyan authorities.

Recently there have also been reports that Tanzania had ignored a deal that granted Kenyan-made confectionery products like chocolate, ice cream, biscuits and sweets unrestricted entry into its market.

Tanzania banned importation of confectionary goods from Kenya by claiming that some manufacturers used raw materials from countries, which were not members of East African Community.

However, Prof Mkenda said that the row has been resolved.

The two countries have agreed that the goods will only be imported duty-free if the manufacturers used local raw materials.

Read more:Tanzania, Kenya downplay trade war media reports
- hivi kweli tunailaumu serikali kwa kuchukua hatua kwa watu wasiofuata utaratibu?
- mchele ndani bado una soko kubwa na bado bei ni nzuri tu
 
Na sisi tukizuia bidhaa zao hao wafanyabiashara wa Kenya watafaidika? Yani wewe badala ya kuilaumu Kenya kwa kuzuia masoko yetu wewe unatake side ya Kenya?

Watanzania wa aina yako wanastahili adhabu kali sana

Mkuu kwasasa tuna export kwao kuliko wananvyo import kwetu.
 
Chamsingiviongoz wetu wakae na wafanyemazungumz kuhusu tatz hil kam ndo hv watakao umia ni watanzania ambao wanatengemea kufanya biashara na nchi hiyo so mh rais atambue hilo
 
Vile viwanda vyetu vya tanband, kiwi, nk vilienda wapi. Mimi napendekeza bidhaa zote za kenya zipigwe marufuku bora kuagiza ulaya kama kuna uhaba kuliko Kenye. Wanatajirika kwa soko la Tanzania halafu wanatuletea kibri?
 
Tunazo ndege zetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zishavuka mipaka ya tz toka zimeingia?unafikiri unaruka tu nje na madeni tulio nayo
 
Biashara haiko ivo kaka tunaumia sote maana raia hatutapata bidhaa kwa muda sahihi na kwa bei sahihi na wao hawatauza kwa muda sahihi so pande zote zitaumia
Ni kweli kabisa. Ila point yangu ilikuwa kwamba Kenya itaathirika zaidi na wao ndiyo inabidi wawe makini katika ku deal na hii issue. Unajua dunia siku hizi imekuwa kama kijiji na kuna njia mbadala japo ni kweli zinaweza kuwa na kero zake.
 
Hapa kuna kazi sana tuliangalie kwa jicho la tatu tutapata jibu, wote wanachama wa africa mashariki hakuna asiyejua masharti ya Rule of origine na 0 tariff rate kwa bidhaa zote na utaratibu wa ku apply import surge na kwa wakati gani. ndio maana nasema tuliangalie swala hili kwa jicho la tatu.
 
Mwakajana serikali ya Awamu ya Tano, kwa majigambo makubwa, ilitaifisha ng'ombe wa Kenya na kuchoma vifaranga vya kuku vilivyotoka Kenya.

Wengi tuliona uamuzi ule wa Serikali yetu ya Awamu ya Tano ulikuwa ni kitendo cha aibu ni kinachoweza kufanywa na mtu pekee aliyekosa busara, kwa kuzingatia kuwa Kenya ni jirani yetu na mwanachama mwenzetu katika EAC.

Ubabe ule uliofanywa na Serikali ya Tanzania dhidi ya Kenya, unaendelea kuwaumiza wafanyabiashara wa Tanzania wanaotegemea soko la Kenya. Kwa sasa, kwa kuzingatia ukweli kuwa mzunguko wa fedha katika biashara ndani ya nchi yetu, umesinyaa, baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania, tegemeo lao kubwa limekuwa masoko ya nje ya Tanzania, ikiwemo Kenya. Lakini kwa bahati mbaya kutokana na mahusiano yasiyo mazuri ya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya, Watanzania wanalazimika kulipia maamuzi mabaya ya viongozi wao.

Je, viongozi wa Tanzania, wamejifunza lolote kupitia maamuzi yale ya ovyo yaliyokwishafanyika?

Katika Ulimwengu wa leo, hakuna ubabe. Wewe ukijifanya unajua sana na kudhani wenzako ni wajinga, watakuonesha jinsi walivyo werevu kukushinda wewe.

Ujumbe: Viongozi wetu tafakarini kwa umakini na tumieni akili, hekima na busara, katika kila uamuzi mnaoufanya. Katika Dunia hii, wengi wana akili na weledi lakini hawapigi kelele. Wanaopiga kelele, mara nyingi ni wale wanaotenda kidogo, wanajua kidogo na wana upeo mdogo.

.............

Dar es Salaam. The government revealed on Saturday that Kenya has stopped importation of rice from Tanzania in yet another sign of unending trade wars between the two largest economies in East Africa.

The permanent secretary in the ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Prof Adolph Mkenda, told The Citizen that the Kenyan government stopped the importation of rice from Tanzania over claims of standards and packaging. “We are seeking an explanation [on the ban],” said Prof Mkenda. “We are sure that these are negotiable issues and it is our best belief that they are resolvable.” Apart from rice, there are also other issues that the government of Tanzania is trying to sort out with its Kenyan counterpart.

One is that which involves the 15 lorries carrying wheat flour, which are stranded at the Namanga border post. The trucks were stopped to pass through the border following the decision by Kenyan authorities to ask the owner to clear each lorry afresh.

This is despite the fact that the owner had already cleared 85 lorries, including those stuck at the border, which were bound various cities of Kenya.

The other issue, according to Prof Mkenda, is that involving Bakhresa’s energy drinks product, which the Kenyan authorities overvalue them in contrast to the exact value indicated by the producer.

This has made the product to be unfairly taxed by the Kenyan taxman and cause unnecessary inconvenience to the producer.

The PS also revealed that the government of Tanzania was aware of reports that consignments of beer from Tanzania have been confiscated in Kenya. “We have seen on social media platforms that consignments of beer have been confiscated in Kenya, but our High Commissioner in Kenya is working on the matter,” explained Prof Mkenda.

The aforesaid information surfaced amidst a meeting between Tanzania and Kenya, which among other things, downplayed claims that a trade war between the two states was brewing.

Briefing the media on Thursday, Prof Mkenda and Kenya’s High Commissioner to Tanzania, Mr Dan Kazungu, expressed their optimism that the solution would be found to some unresolved issues, which affect business between the two countries.

Prof Mkenda called upon traders from the two countries to be patient as they were striving to resolve the challenges, which were hindering cross border trade.

There has recently been reports that there is a ‘trade war’ between the two countries basing their reports on incidents perpetrated by the authorities from both sides.

In August, Kenya and Tanzania media reported that some Kenyans had blocked lorries from Tanzania from entering the country as they protested mistreatment of Kenyan traders.

However, the claims were later dismissed by the Kenyan authorities.

Recently there have also been reports that Tanzania had ignored a deal that granted Kenyan-made confectionery products like chocolate, ice cream, biscuits and sweets unrestricted entry into its market.

Tanzania banned importation of confectionary goods from Kenya by claiming that some manufacturers used raw materials from countries, which were not members of East African Community.

However, Prof Mkenda said that the row has been resolved.

The two countries have agreed that the goods will only be imported duty-free if the manufacturers used local raw materials.

Read more:Tanzania, Kenya downplay trade war media reports
Nasikia kwasasa Tanzania wanaagiza Dagaa kutoka Kenya baada ya operation ya wizara ya uvuvi
 
Vile viwanda vyetu vya tanband, kiwi, nk vilienda wapi. Mimi napendekeza bidhaa zote za kenya zipigwe marufuku bora kuagiza ulaya kama kuna uhaba kuliko Kenye. Wanatajirika kwa soko la Tanzania halafu wanatuletea kibri?
Kenya kuleta kiburi ilikuwa zamani kipindi kile utandawazi haujaingia. Watu walikuwa wanaingia Kenya kufuatilia bidhaa kama sabuni, mafuta, nguo,dawa za meno nk na ukishikwa na askari wa Kenya unakiona cha mtema kuni. Bado ukiingia tena Tanzania unapambana na askari wa Tanzania. Siku hizi hilo limeisha kwani tunaweza kupata bidhaa kutoka sehemu nyingine. Licha ya bidhaa, kipindi hicho watanzania tulikuwa tunaona Kenya kama ni sehemu ya kwenda kutafutia maisha na watanzania wengi walikuwa wanaishi Kenya. Askari na Kenya nao walikuwa siku wakijisikia wanawakushanya na kuja kuwabwaga mpakani. Hayo yote yameisha na sasa wakenya ndiyo wanakuja kulowea Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom