mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,601
- 3,544
Moja ya habari zilizoshtua zaidi na kufanya vijana waamke usiku huu ni video zinazosambazwa katika whatsapp groups zikionesha chakula cha wali kikigeuzwa vitenesi na kudunda kabisa..
Ikiwa ni mojawapo ya ushahidi kuwa ni mchele wa plastic.....
Mwanzo ilikuwa ni fununu lakiin kwa sasa imekuwa confirmed mchele huu upo ndani ya taifa hili..…
TBS, TFDA mko wapi jamani..........
Vijana huku tutaisha kama kuku.....
Tumechanganyikiwa jamani
Update
ASANTE KWA TBS KWA KUTOA TAARIFA YA KUTHIBITISHA KUWA MCHELE HUU HAUNA TATIZO