Mchele Sasa unapatikana kwa bei rahisi, upate ndani ya Siku tatu popote pale Tanzania

Itapendeza Kama ukiweka bei nzuri zaidi kwasabab huku Mchele mzuri ni hyo hyo 2000 ambayo unautoa hapo dukan kwa mangi unauweka jikon sio ule wa kuufata ubungo
 
Itapendeza Kama ukiweka bei nzuri zaidi kwasabab huku Mchele mzuri ni hyo hyo 2000 ambayo unautoa hapo dukan kwa mangi unauweka jikon sio ule wa kuufata ubungo
Sawa wenye uhitaji watakuja, siwezi fanya biashara ya hasara
 
Mie nilituma pesa na mzigo nilipata labda aja abadilike baadae

(6EG72BRI4S7 Imethibitishwa Tsh38,000.00 imetumwa kwa 255759281088 - JOSEPH XXXXX Tarehe 16/5/19 saa 7:32 PM kwa ada ya Tsh365.00. Salio lako la M-Pesa ni............)
Nashukuru mkuu, siwezi kubadilika.
Huwezi kula hela ambayo hukuitolea jasho..
Jasho la mtu halipotei bure.
 
Asante wadau mlioagiza mzigo, mkipokea naombeni feedback zenu hapa....

Kazi kazi na kila la kheri.
 
Nikitaka uniambie Mchele ulipo ili niufuate nilipie tu Mchele bila usafiri inakuaje?
 
Ila mkuu ushauri wangu kwann usifungue ofisi hapa dar nadhani biashara itakua murua zaidi na utafikia wateja wengi zaidi
 
Kama unahitaji mchele wa biashara au kula karibu ofisini hapa uyole-mbeya....

Au Kama huwezi kufika Pia

Piga 0788643144

Ukifanya malipo kuanzia saa 12asubuhi - 10 jioni kwa wale wanaotaka kutumiwa mzigo Utaupata Siku inayofuata saa 3usiku..

Pia nafanya utaratibu wa kufikisha mzigo dar mchana kuanzia saa 6-12 jioni kila siku baada ya malipo Siku moja kabla.
 
Nipo hapa Nzega Tabora nmeweka makazi ya muda,je taupataje huo mzigo!
 
Nipo hapa Nzega Tabora nmeweka makazi ya muda,je taupataje huo mzigo!

Nipigie 0788643144
Niambie kiasi unachohitaji...
Mzigo utakuja kwa njia ya basi za mbeya - lupa - tabora via chunya road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…