Mchele Super wa Mbeya kwa bei rahisi sana

Kama unahitaji mchele nitafute 0788643144 mzigo unakufikia popote ulipo ndani ya Siku tatu tu...

Usafiri kwa kilo 20 ni 10,000/= tu
 
Niliagiza mchele na kutuma pesa, Nashukuru nimepokea kilo 20 pale ubungo ofisi ya AL saidy
Asante mdau nasubiri waupike nione ubora wake
 
Niliagiza mchele na kutuma pesa, Nashukuru nimepokea kilo 20 pale ubungo ofisi ya AL saidy
Asante mdau nasubiri waupike nione ubora wake
Nashukuru mkuu, naamini utakuwa mtamu Kama unavyonekana kwa macho...

Karibu tena, kwa huduma nzuri.
 
Wadau mchele unapatikana...
Utaupata ndani ya Siku tatu tu popote pale ulipo Tanzania...
 
Jihakikishie usalama wa chakula wakati huu wa mlipuko wa ugonjwa wa corana..
Order sasa upate ndani ya siku 2-4 popote Tanzania na east africa,piga +255788643144 au +255759281088 au telegram John
 
Back
Top Bottom