anaye kaka yake mmoja bonge kinoma. sasa akawa amemuazima pensi yake akapige show.Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....
Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
Nimesikitishwa sana....nimeonewa sana....haya ni matusi ya wazi wazi....yaani mie swa na kid tell'em?
Mods pls hawa watu wapewe server ban.....
hapana bibie...mie ni intelectual fulani hapa JF sina matattoo na sivai mifuko ya mashine kama huyo kid......mmh! nahisi anaweza kuwa ni Yo Yo
tehe teeh hapo najua unateleza na bird walk.....ambavyo sipendi tattoo yule shori nimemwambia kafute jina langu kwenye tits zake(ieleweke tattoo yake inaonekana kwa juu sio kwamba niliona baada ya kufunua....)Yo Yo Tell 'Em
tehe teeh hapo najua unateleza na bird walk.....ambavyo sipendi tattoo yule shori nimemwambia kafute jina langu kwenye tits zake(ieleweke tattoo yake inaonekana kwa juu sio kwamba niliona baada ya kufunua....)
tehe teeh hapo najua unateleza na bird walk.....ambavyo sipendi tattoo yule shori nimemwambia kafute jina langu kwenye tits zake(ieleweke tattoo yake inaonekana kwa juu sio kwamba niliona baada ya kufunua....)
tehe tehe aaah acha bana.....unajua mchizi mox kaimba kuchora kuchora kitu unaweza ukachora na vile vile usioone ndani alafu unajua yule shori hakuwa wangu....sawa kiwango kama fabregas lakini mie viwango vyangu kama Zidane bana.....Yule shori wako balaa kwenye makalio alikuwa na tattoo za Fidel80
tehe tehe aaah acha bana.....unajua mchizi mox kaimba kuchora kuchora kitu unaweza ukachora na vile vile usioone ndani alafu unajua yule shori hakuwa wangu....sawa kiwango kama fabregas lakini mie viwango vyangu kama Zidane bana.....
shori Uwiano wa ngabu.......Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...
shori Uwiano wa ngabu...........hivi huyu kid tell'em hana stylist?
shehe mbona unampromoti sana UWIANO? hebu tujulishe weye ndo mpokea mahari ili wazee tujipange???Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...
Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...
shori Uwiano wa ngabu.......
....hivi huyu kid tell'em hana stylist?
shehe mbona unampromoti sana UWIANO? hebu tujulishe weye ndo mpokea mahari ili wazee tujipange???
naomba uwiano anitumie PM tafadhali kuna mambo nyeti nataka tuyabalansishe kwanza kabla ya kwenda hewani