Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM

Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo

View attachment 1241544
Wasafi TV na redio kuna kitu nyuma ya pazia, hakuna hela ya kufanya haya yote ukizingatia uchumi umeangka sana na sekta binafsi zimekufa, kilichotokea ni biashara fulani inafanywa ila media inakuwa kivuli, time will tell
 
Tatizo lako unajisahau yeye amesema wasafi hawawezi kumsajili millardayo ndo nikamjibu hivyo, millardayo ameajiliwa na clouds Kama ameweza kuajiliwa na clouds wasafi wanashindwaje kumsajili?
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa millard anaitangaza brand yake kupitia radio inayosikika nchi nzima (mawingu) ambayo ina mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wake. Eti leo atoke mawingu inayosikika nchi nzima na imempa mafanikio yote hayo, then aende radio inayoishia kongowe!
Nakazia Wasafi wakimsajili millard nipigwe ban ya maisha.
 
zembwela ni bonge la mtangazaji mwenye charisma ya utangazaji akiwaacha mbali sana kiutangazaji watangazaji 'wasomi' kibao wenye madigirii na ma-pihechidii
 
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa millard anaitangaza brand yake kupitia radio inayosikika nchi nzima (mawingu) ambayo ina mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wake. Eti leo atoke mawingu inayosikika nchi nzima na imempa mafanikio yote hayo, then aende radio inayoishia kongowe!
Nakazia Wasafi wakimsajili millard nipigwe ban ya maisha.
Of course kwasasa wasafi frequency zao zinashika dar na pwani lakini wanampango mwakani ishike karibia mikoa yote lakini kingine unashindwa kujua wasafi wamejiimarisha Sana social network ndo maana wanaweza wanafanya promo kwenye radio yao tu ya show lakini siku ya kuperform mkoani wanajaza Sana kuliko hata fiesta cos social network zao zinanguvu kuliko media yoyote so unaweza usisikie redion lakini ukapat update zao via Instagram,Facebook,Twitter na YouTube Hilo la kwanza.

Lapili mkwanja unaamua Kama wamemuwekea dau kubwa kuliko anapofanyia kazi kwanini asiende?yaani mzee baba unaongea as if wewe ndo umekaa kwenye akili ya millardayo.Wasafi wakionesha Nia yoyote yakumtaka millardayo na wakatoa dau kubwa mbona mapema tu millardayo anakuja wasafi.
 
Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM

Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo

View attachment 1241544
Hivi wanapojiunga na Wasafi wanakuwa wameshajihakikishia Job security? Kwasababu ile ni Limited organization.

Wasije wakarudi kuomba kibarua baadae mambo yakienda mrama.
 
Wasafi TV na redio kuna kitu nyuma ya pazia, hakuna hela ya kufanya haya yote ukizingatia uchumi umeangka sana na sekta binafsi zimekufa, kilichotokea ni biashara fulani inafanywa ila media inakuwa kivuli, time will tell
Kwani mmiliki wa media hiyo ni nani? Unaweza kua fedha usidharau.
 
Hio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?
Pia haikuwa msaada alikuwa anafanya kazi. Kaipaisha sana EATV na radio.
 
Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
Hawalip mishahara ndomana wanahama
 
Back
Top Bottom