Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Kweli kabisa, wengi wamejifunzia pale na wanajua kabisa ipp ni chuo chao cha mafunzo
IPP(ITV/RADIO ONE/EATV/RADIO) pale pamewatoa watangazaji wengi sana ni kama chuo pale wakishabobea wanasepa zao kutafuta maisha sehemu nyingine na maisha yanaendelea fresh kabisa.
 
Back
Top Bottom