Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
E.A radio/Tv inazalisha vichwa tu. Sijui nani pale ndio mwenye macho ya kuvuta vipaji na kuvitengeneza ...
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Hahahaha UNACHEKESHA, hapo hamna cha kufanya namna..hapo ni PESA na maslahi mazuri yanaongea....kwani umeandikiwa utazeekea ipp media au East Africa radio..??!
 
Wasafi TV na redio kuna kitu nyuma ya pazia, hakuna hela ya kufanya haya yote ukizingatia uchumi umeangka sana na sekta binafsi zimekufa, kilichotokea ni biashara fulani inafanywa ila media inakuwa kivuli, time will tell
Kwenye hizi media is more than basic salary! Uki-promise commission au bonus ya kutosha kutokana na matangazo wanayovutia, mtu anaweza kuacha hata BBC!!

Uhitaji kuwa na kitu nyuma ya pazia ku-promise na hatimae kulipa commission au bonus kwa sababu vyote hivyo vinatokana na kile mlichoingiza wenyewe.

Kingine ni opportunity!! Hapa ndipo zinapofeli media za IPP... nahisi zina mfumo wa ki-TBC fulani!!! Chukulia Clouds kwa mfano! Watangazaji wa pale wanatumia media kuchomokea brands zao binafsi, na management ipo poa kwa watangazaji wake kutumia fursa!
 
IPP itakuwa inawalipa kidogo wafanyakazi wake ndio maana media zingine zikiwataka huwa rahisi kuwapata.
Tukianza na Millard Ayo, George Bantu, mamie, Dj sinyorita, Kennedy, zembwela, Sam misago, Dj Mafuvu nk....
KenedyTheRemedy na George Bantu walikuwa wanakimbiza sana kwenye the Cruize..lilikuwa bonge ya show,,ngoma kali tu za unyamwezini..

Earadio wanajua sana kutengeneza presenter ndo maana wengi wamechukuliwa na Clouds
 
Nina muda mrefu sijasikiliza Radio... siku hiz social media ndo kila kitu... news zote zipo kule tena exclusive....
 
halafu mbona eatv na radio..... Watangazaji wanahama Sana mfano Suzy Bernard wa Kipind cha e news hayupo pia sammisago nae hayupo zembwela nae ndo ivo
 
Namzungumzia sam Misago naona hata kwenye website yao wameshamtoa
Sam Misago kaishajiongeza, wale wanasheria kama shule ya seminari wale, wanapenda kumfunga mtu, George Bantu, Kennedy, Mammy, wametoka wamekuwa na majina makubwa, na hiyo misingi ndio ilimshinda hata MAFUVU Aakasepa
 
Back
Top Bottom