Mchawi wa love.

yaani hapo ndio basi kabisa. Mnavyonitisha badala yakunipa solution sipati picha.

sasa hapa kinachokutisha ni nini my dear?badala yakitishika na hali ya hatar uliyonayo unatishika kwa hizi kaul za wana jf?
solution umepewa,wengi wamekushauri kujisogeza karibu na mungu lkn bado unaona hujapewa suluhu?
okay,mm kwakukuongezea,nadhan tatizo lako pia liko kisaikolojia,maana saikolojia inasema personalities au tabia zetu za ukubwani ni zao la mazingira na mambo tuliyopitia utoton.ukipata psychoterapst mzuri akakufanyia personal counceling anaweza kukijua chanzo cha hii roho inayokupelekea kuwa na tabia hizi zinazohatarisha maisha yako.
Mungu hajakuumba uwe chovyachovya,hebu mruhusu Mungu akufanye uwe yule utakayependeza machoni pake.
Unaouwezo wakuilaani hiyo roho,nakuhakikishia ukimruhusu Yesu a-take over utakuja kutushuhudia kuwa umepata binti unayetaman muote mvi pamoja.Mjaribu Mungu wetu Jehovah nguvu zake ni kubwa kiasi kwamba mbele zake tatizo lako ni dogo hata kwa microscope yenye nguvu kali halionekani.
Mungu wangu hajawahi kushindwa na cha ajabu anakupenda sana pamoja na kwamba ww ni chovyachovya,hebu mjaribu upate ushuhuda wako.
 
mwanzo niliposoma maelezo yako,nilidhani unahitaji kweli msaada.lakini niliposoma comment zako,naona kama unaona sifa kwa unayoyafanya.wewe endelea kufanya tu,ipo siku utakuja juta.au maybe hujapata unaempenda na hata siku utakayompata,itakuwa too late
 
mwanzo niliposoma maelezo yako,nilidhani unahitaji kweli msaada.lakini niliposoma comment zako,naona kama unaona sifa kwa unayoyafanya.wewe endelea kufanya tu,ipo siku utakuja juta.au maybe hujapata unaempenda na hata siku utakayompata,itakuwa too late

Kweli Mkuu! Karibu niingie mkenge kwa kutoa ushauri usipohitajika. Yahemovich alichokusudia ni kujisifia tu. Ninawasiwasi hata na ukweli wa maelezo yake. Kuna uwezekano mkubwa wa kisaikolojia kuwa Yahemovich hajui hata hiyo kitu imekaaje isipokuwa ndivyo anavyotaka awe.

Na kama ni kweli, ushauri wangu ni kuwa awe anagalau na heshima kwa wasichana. Aelewe kuwa hao ni watoto wa watu, wana wazazi na jamaa zao. Sifikiri ikiwa anavyofanya hivyo angependa afanyiwe mdogo, dada, jamaa yake.
 
Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?

Kaka najua wengi sana hawata kuelewa,nimekusoma na ntakutumia PM kukuelekeza jinsi ya kuovercome hiyo kitu!
Personally nilikuwa na hali hiyo,after sex namchukia kweli niliye kuwa nae,ila mara nyingi ilikuwa ni kwa sababu ya imani yangu (kuwa niki sex kabla ya ndoa ni dhambi,ko ninae sex naye nikawa namchukia maana amenipeleka dhambini)

Kuna sababu nyingi zilikuwa zina nifanya niwe hivo,ngoja nimalize kikazi hapa ntakutafuta mda si mrefu privately
 
Mama mia and Kisukari you've tried now I have an idea, nahisi kweli psychological and enviromental issues zinaweza kuhusika lakini kwasababu tabia hii kwangu ilikuwa kama ni mtu mwenye majini yanayomwendesha yanavyoamua menyewe. Ila huyo psychoterapist sasa kumpata..!
 
utakufa na ukimwi ww??

unadhani ni sifa??

Umesoma na kuelewa hyo thread? Hakuna sehemu anajisifia bali amegundua kama ni tatizo na hvyo anaomba msaada. Usimshtumu kwa kuwa amejiweka bayana, ni dhahiri anahitaji msaada.
 
jamani kwa jinsi jamaa alivyo jieleza ni kwamba ana tatizo...so kama wewe ni mlokole muombee hapo ulipo pepo atoke
 
nami nna katatizo kama kako,ila mie siwafunui wala hawanifunui nkishaongea nao tu hamu nao inakatika nasubiria mautatuziyako yatanisaidia namie...
 
tatizo lako itakuwa ni impotence na sio kulogwa. mwanaume mazubuti hata akiona jiwe lina kashepu shepu basi lazima aripuke surualini, seuze mwanamke ambae wewe unatuambia unamuona kero. kamuone daktari wa mambo ya impotence kabla haujaanza kuona kero hata kabla hiyo ku do mara moja.
 
nami nna katatizo kama kako,ila mie siwafunui wala hawanifunui nkishaongea nao tu hamu nao inakatika nasubiria mautatuziyako yatanisaidia namie...
mwenzio anazungumzia akiwafunua wanawake! na wewe unawafunua nani? hehehe naomba kaufafanuzi kidogo
 
Ni hivi kunaambao wanalilia hadi kuwa wachumba wakitaka tukatambulishane kwawazazi tena kuna wawili ambao tulitofautiana dini lakini walinambia wako tayari kubadilisha nakuwa wakristo lakini nilijitahidi kukwepa hadi tukaachana, hapo ndipo nilipojigundua kuwa si bure nikahisi ninatatizo maana walikuwa warembo tena wenye pesa na mara nyingi walikuwa wakinihudumia hadi vocha.
"A LOOSER DOES NOT KNOW What he need unless he see what he gets".:yield:
 
Tatizo lako wanaume weng wanalo yan ukisha maliza bibie sijuh wamwonaje hata kumsindikiza unakuwa mzito ila tunajitaidi kwa hari kutoonesha ivo kwan ni kumuumiza mpnz wako. Jarib tulia tatizo lako halitaisha kwa kwenda kwa wengine zaidzaid unalibold tu.
 
Back
Top Bottom