Mchawi wa love.

Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?

Kwanza pole sana, inavyoelekea una pepo la ngono, haiwezekani uwe hivyo, unataka kuniambia hutaoa? Acha uasherati, na waone watumishi wa Mungu watakuombea hilo pepo liondoke, likishatoka tulia haf baadaye uoe mkeo, uasherati si mzuri kabisautaishia pabaya.
 
Mimi si muasherati tena ni mtulivu kuliko maelezo na ukiniona lazima utaapretiate. Tatizo nikimpata nimpendae siku tukijamiiana tu kwisha habari natulia tena hata miezi kadhaa lakini nikimpata mwingine nikasema nijitahidi nisimwache ghafla kama kunakitu kinaazha kichwani nakujaa moyo matokeo fyuuuu!
 
Utafika tu mahala utakwama kila mtu ana end of the road yake
 
Wewe ni malaya tena una tamaa mbaya sana nenda kanisani/msikitini ukaombewe

Duuuh jamani mnakosea kumtukana, matatizo haya ni ya kisaikolojia na yuko affected ktk ubongo.

Mie naona hakuna haja ya kumshambulia kwa matusi, mngempa ushauri mf. akaonane na wanasaikolojia au hata hospitali atapata msaada mkubwa.

Hali aliyonayo kitaalam inaitwa "sexual maniac" na ni maradhi mabaya sana ya kuruka ruka huku na kule na wapenzi wa kila aina. Hali hii inaweza mkumba mtu wa jinsia yoyote mke/mme na inatibika hivyo awaone wataalam watamsaidia.:help:
 
Mimi si muasherati tena ni mtulivu kuliko maelezo na ukiniona lazima utaapretiate. Tatizo nikimpata nimpendae siku tukijamiiana tu kwisha habari natulia tena hata miezi kadhaa lakini nikimpata mwingine nikasema nijitahidi nisimwache ghafla kama kunakitu kinaazha kichwani nakujaa moyo matokeo fyuuuu!

Mkuu pole sana na tatizo lako, una matatizo ya kisaikolojia na unahitaji kuonana na wataalam wa Saikolojia watakusaidia.

Mie nakushauri tu ukae mwenyewe na kutafakari kwa undani hali yako kwa ujumla.

ufikirie unanufaika na nini na hasara inayoweza kukukumba mf. Ukimwi, gono, kaswende nk.
Fikiria maisha yako ya baadaye, familia yako utakayoijenga na mafanikio yako kimaisha yatakuwaje?

Chukua muda kila siku japo nusu saa kaa mwenyewe, tafakari na uweke ubongo wako ktk positive side.

tafuta binti mmoja mzuri na mwenye heshima na utulie naye kwa muda mrefu, km mkizoeana, mweleze shida zako nahisi km atakuwa amekupenda na ww umempenda atakusaidia sana. wanawake ni madaktari wazuri sana wa maradhi km yako ila inabidi uonyeshe uaminifu wako kwake na uache tabia hiyo isiyokufaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom