Mchawi wa CHADEMA

Mchawi wa CHADEMA

Hili jamaa nalo pumbavu aisee. Yaani hapo napo umeona ni sehemu ya kubishana wakati hoja Iko wazi kabisa. Kwa Hali hii, madaraka mtakayochukua nchi hii ni ya waume zenu tu huko majumbani kwenu lakini si ya Tanzania hii. Pumbaaavu kabisa.
Matako. yako
 
Chadema mmevuka milima na mabonde mkiwa jasiri, Leo mnakubali vipi Kutibuliwa vumbi nanyi mnajaa upepo?Je mmerogwa?

JIFUNZENI Kuachilia mambo na kusoti mambo madodo ili mbaki salama, Acheni wenge la kijinga,

Tunatambua sana UMHIMU WA WATU WOTE NDANI YA CHADEMA, Lakini tambueni kwamba umhimu wenu hauwezi kuwa sawa,
Chadema ni kama mwili tu wenye viungo mbalimbali ndani ya chadema kuna wengine mikono, wengine kichwa, wengine miguu, wengine tumbo na wengine matako!

Ni rahisi sana kuyashangaa matako kama hujaamua kukaa, Kichwaa kisijisifu sana na kupuuzia miguuu, macho yasijawe kiburi na kupuuza mikono! SHIKAMANENI MSONGE MBELE!
Tambueni kwamba Kiungo mmoja akiumia HUPELEKEA Kulazwa mwili mzima.

Viungo wote hawa LEMA, SUGU, MSIGWA, BAVICHA, WAZEE, HECHE, LISU n.k Wote ni mhimu sana.

Mbinu ya kuchafuliwa na kugombanishwa haijaanza Leo, Mkiruhusu migogoro ya kijinga mtapoteana!
HESHIMIANENI MSIFORCE NA KUKARIRI nyakati, Yamkini Kipindi cha mbowe kuna staili Mliishi nayo! Kubalianeni na staili nyingine pia.

Mfano. ENZI za magufuli Kwenye jambo la Msingi aliamlisha pesa itoke kwanza halafu michakato ya forodha ifuate nyuma, Haukuwa wizi bali ni Kutambua kipaumbele!
Haiwezekani daraja libomoke leo, ushindwe kulijenga ukisubiri taratibu za kihasibu mwezi mzima, Toa pesa then taratibu zinakuja.

Dosari positive zisitumike kuwagawa kijinga chadema! WAZEE CHADEMA fanyeni kazi kuwaunganisha, Bavicha mmelala mnawaacha viongozi wenu wanabagazwa mitandaoni Wala Hamjibu,

VIONGOZI CHADEMA MKIENDEKEZA UJINGA NA SISI WANACHAMA TUTAFANYA UPUMBAVU
Mambo yapo kwenye udhibiti sina mashaka na chama langu mbali na fitna za jirani mbaya
 
Screenshot_20260710-075429~2.png
 
Back
Top Bottom