mkongoman leo
Senior Member
- Mar 26, 2026
- 182
- 201
shida ni wanoko wanataka kuua tone tone wameona inaivusha CHADEMA. aisee hawataweza someni mazingira ya kisiasa na mwelekeo wa wananchi. Chadema ni IMANI
Taarifa za fedha zinafanyikia humu mitandaoni ama katika vikao rasmi vya chama? Cdm inafanya biashara gani, ama inapata ruzuku kiasi gani hadi hao wahuni mnaowatuma wahoji matumizi ya pesa? Hao wanaohoji taarifa za fedha huku mitandaoni, wameweka ushahidi huku mitandaoni ni kiasi gani cha fedha wameingiza kwenye chama na hawazioni?Swala ni,kuna fedha hizi,na zile,na zile?,tuonyeshe zipo wapi?,au zimetumikaje?(Ndiyo swala la msingi)
Majibu yawe,fungu lile tuligawa matawini,zile tulitumia kwa mafuta,malazi na chakula,na zileee,zilitumika kulipia ofisi mbalimbali za vyama kote mikoani!
Ndugu Tindo hili ndilo linalotakiwa kwa fedha ambazo ni za umma,au wanachama.
#Unapotumia cheo chako kujichotea na kuwafunga wanachama midomo kwa kufukuza wengine kisa tu wamehoji,HILO SIYO SAWA!...NI WIZI HUU.
Matusi hayaui NI tabia tu ambayo Haina hasala kwa taitlfa je ufisadi wa aliasili zetu waweza lingana na matusi?Sawa, hivi ni lini ulikemea matusi na shari zingine?!!! Mi pia nipo na watanzania wapenda amani, maendeleo na maelewano.
Heche ameshakujibuni alikopeleka tone tone?!!!Matusi hayaui NI tabia tu ambayo Haina hasala kwa taitlfa je ufisadi wa aliasili zetu waweza lingana na matusi?
Katiba ya CDM unaijua isemavyo kuhusu njia na taratibu za kuhoji?Swala ni,kuna fedha hizi,na zile,na zile?,tuonyeshe zipo wapi?,au zimetumikaje?(Ndiyo swala la msingi)
Majibu yawe,fungu lile tuligawa matawini,zile tulitumia kwa mafuta,malazi na chakula,na zileee,zilitumika kulipia ofisi mbalimbali za vyama kote mikoani!
Ndugu Tindo hili ndilo linalotakiwa kwa fedha ambazo ni za umma,au wanachama.
#Unapotumia cheo chako kujichotea na kuwafunga wanachama midomo kwa kufukuza wengine kisa tu wamehoji,HILO SIYO SAWA!...NI WIZI HUU.
Kumbe nahangaika na ndezi.Heche ameshakujibuni alikopeleka tone tone?!!!
Sawa, lakini hujajibu swali kama heche ameshakujibuni alikopeleka tone tone au Bado.Kumbe nahangaika na ndezi.
Nimeshakupuuza kitamboSawa, lakini hujajibu swali kama heche ameshakujibuni alikopeleka tone tone au Bado.
Haina shida, ila vp kuhusu hilo swali la msingi la wapi heche amepeleka tOne tone zenu??!!!!!!!??!!!!!!!!!!!!!Nimeshakupuuza kitambo
NIMEKUPUUZAAAAAAAAAAAHaina shida, ila vp kuhusu hilo swali la msingi la wapi heche amepeleka tOne tone zenu??!!!!!!!??!!!!!!!!!!!!!
Sawa Haina shida, Sasa vipi kuhusu ulaji wa tOne tone unaosemwa umefanywa na heche?!!!NIMEKUPUUZAAAAAAAAAAA
Una uthibitisho kuwa hilo huwa halifanyiki au unataka na wewe wawe wana ku Cc kama nani!???Swala ni,kuna fedha hizi,na zile,na zile?,tuonyeshe zipo wapi?,au zimetumikaje?(Ndiyo swala la msingi)
Majibu yawe,fungu lile tuligawa matawini,zile tulitumia kwa mafuta,malazi na chakula,na zileee,zilitumika kulipia ofisi mbalimbali za vyama kote mikoani!
Ndugu Tindo hili ndilo linalotakiwa kwa fedha ambazo ni za umma,au wanachama.
#Unapotumia cheo chako kujichotea na kuwafunga wanachama midomo kwa kufukuza wengine kisa tu wamehoji,HILO SIYO SAWA!...NI WIZI HUU.
TATIZO NDANI YA CHADEMA HAKUNA UWAZI,IMEGEUKA KUWA KOSA PALE KIONGOZI ANAPOKOSOLEWA,HILI NI BAYA SANA,INAPOSHINDIKANA KUJIKOSOA MTAWEZAJE KUKOSOA WENGINE?,NASIKIA WALE WOTE WALIOHOJI MATUMIZI WAMEANZA KUPIGWA PANGA,YAANI WAONDOKE,AJABU KABISA HII,DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA IPO WAPI?,JE WATU HAWA TUTAKAPO KUJA KUWAPA MAMLAKA WATAKUWA NI WATU WA AINA GANI?TUNAFURAHI WANAJITANABAISHA MAPEMA SANA!,
#FALSE PRIEST!
#TUWASIFU CHAUMMA HILI LA UBADHILIFU WAMEMALIZANA NALO!.
Sawa Haina shida, Sasa vipi kuhusu ulaji wa tOne tone unaosemwa umefanywa na heche?!!!
Sawa, vp lakini kuhusu ulaji wa tOne tOne?!!!
HECHE ANAPASWA KUONGEZA DOSE ILI LUMUMBA BUKU7FC WATIE ADABU.Sawa Haina shida, Sasa vipi kuhusu ulaji wa tOne tone unaosemwa umefanywa na heche?!!!
Samia anapaswa kupunguza dozi Ili nyumbu wapumie kidogo maana haikuonekana hata pua 1 ya nyumbu kwenye maandamano ya 7/7HECHE ANAPASWA KUONGEZA DOSE ILI LUMUMBA BUKU7FC WATIE ADABU.
Ubwege NI kuzani 77 chadema ndio waliandamana kwa tarifa yako 77 waliandamanishwa mapunguani bila hata kujua Nini kinawaandamanisha .Samia anapaswa kupunguza dozi Ili nyumbu wapumie kidogo maana haikuonekana hata pua 1 ya nyumbu kwenye maandamano ya 7/7