Mchawi wa CHADEMA

Mchawi wa CHADEMA

Samahani wanaJF, lakini kadiri ninavyopitia hiii mijadala inayoendelea humu kuhusu hiyo sintofahamu ya chadema, sina budi kuhitimisha kuwa wanachadema wa humu JF ni WAPUMBAVU SAAAANA!

Ukiwakuta wanaijadili ccm, kwa mfano, unaweza kuhisi jamaa ni WA tofauti sana kutoa hoja na kuzikabili hoja. Linapowafika Sasa kama hivi na kuwaona wakibaki na viroja vyao viwili, eti "wametumwa na ccm" na "matusi" na kifurushi Cha ziada Cha "blah blah blah" ndipo unapojua kuwa kumbe hii mijamaa ni MIPUMBAVU KUPITILIZA. Naomba 2030 aje jpm-like president, awafirimbie mbali.
 
Pumbavu,.mnawatumia hao wapuuzi kwa kuwaongopea watasema ni demokrasia. Un atoa tuhuma dhibitisha. Kinyume na hapo nenda ccm ukaungane na wanaokutuma.

cdm shikilieni hapo hapo, vyama vingi vimedhoofishwa kwa hao wapuuzi wanaotumika kwa bei rahisi.
Think tank la chadema hilooooo linamwaga points🤣🤣🤣🤣🤣
 
Propaganda za kina nyamitako sisi wakongwe tumezipitia huwa tunazipuuza CCM hawajawahi kuwaambia wanachama wao mapato ya chama yanaendaga wapi luzuku ya CCM NI KUBWA lakini hata siku moja makasuku ya lumumba hayajawahi kata kuhoji luzuku ya chama inatumikaje menyewe yapo busy kuuliza tone tone ya chama ambacho hakisimamii hata halimashauli moja tu hapa tz tusiingie mkenge wa haya majambazi yamefilisi nchi hata aibu hayana
Kama una uhakika na hilo basi hongera. Hata hivyo, nilifikiri nyie mtafanya tofauti Ili watu wawaamini kumbe............
 
IMEGEUKA KUWA KOSA PALE KIONGOZI ANAPOKOSOLEWA,HILI NI BAYA SANA,INAPOSHINDIKANA KUJIKOSOA MTAWEZAJE KUKOSOA WENGINE?,
Wee chawa wa mama,

Nyie Mbogamboga tulieni, hamna jipya kabisa.

Polepole alipowakosoa yupo wapi??

Nyie ni mabingwa wa kuteka na kuuwa wakosoaji.

Hata hizo tuhuma mnazozusha kwa Chadema ni uzushi mtupu
 
Pumbavu,.mnawatumia hao wapuuzi kwa kuwaongopea watasema ni demokrasia. Un atoa tuhuma dhibitisha. Kinyume na hapo nenda ccm ukaungane na wanaokutuma.

cdm shikilieni hapo hapo, vyama vingi vimedhoofishwa kwa hao wapuuzi wanaotumika kwa bei rahisi.
Swala ni,kuna fedha hizi,na zile,na zile?,tuonyeshe zipo wapi?,au zimetumikaje?(Ndiyo swala la msingi)
Majibu yawe,fungu lile tuligawa matawini,zile tulitumia kwa mafuta,malazi na chakula,na zileee,zilitumika kulipia ofisi mbalimbali za vyama kote mikoani!
Ndugu Tindo hili ndilo linalotakiwa kwa fedha ambazo ni za umma,au wanachama.
#Unapotumia cheo chako kujichotea na kuwafunga wanachama midomo kwa kufukuza wengine kisa tu wamehoji,HILO SIYO SAWA!...NI WIZI HUU.
 
Wewe unajulikana ni ccm lia lia,

Mambo ya Chadema yanakuhusu vipi?

Mapato na matumizi ya chama chako ccm unayajua??

Umepata kusoma Ripoti za CAG kuhusu ufisadi wa kutisha wa watawala wako wa ccm???
 
Wewe ni mgeni hapa jukwaani ungeomba Kwanza ushauli kwa wakongwe siokuteseka kwa buku 7
Buku 7 itanitesa vipi wakati naipata?!! Inakitesa wewe unaeitoa kumpa heche ashibishe Malaya huko ubelgiji😆😆😆
Huku wakikuacha umeganda humu kuwatetea na kuzisifia ndevu zao walizoanza kufuga Huku domo likiwa linakunuka kwa kuchacha (kuusu)
 
Wewe unajulikana ni ccm lia lia,

Mambo ya Chadema yanakuhusu vipi?

Mapato na matumizi ya chama chako ccm unayajua??

Umepata kusoma Ripoti za CAG kuhusu ufisadi wa kutisha wa watawala wako wa ccm???
Think tank la chadema hilooooo likipangua hoja za ufisadi chamani kwao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wameshashinda tayari, kujua kuwa wanahujumiwa tayari ushindi upo kwao. Wananchi kuondoa Imani kwa hichi chama sio rahisi hivyo unavyofikiri, kama ulivyofeli mpango wa wakristo na waislamu kugombanishwa, ndivyo utakavyofeli na huu.
 
Buku 7 itanitesa vipi wakati naipata?!! Inakitesa wewe unaeitoa kumpa heche ashibishe Malaya huko ubelgiji😆😆😆
Huku wakikuacha umeganda humu kuwatetea na kuzisifia ndevu zao walizoanza kufuga Huku domo likiwa linakunuka kwa kuchacha (kuusu)
Inasikitisha Sana kijana Kama wewe kutumika na Wana u me wenzako Kama condom Kisha unakuja hapa kujisifu zeroooo kabisa
 
Wewe unajulikana ni ccm lia lia,

Mambo ya Chadema yanakuhusu vipi?

Mapato na matumizi ya chama chako ccm unayajua??

Umepata kusoma Ripoti za CAG kuhusu ufisadi wa kutisha wa watawala wako wa ccm???
Hivi vyama tunavyovitegemea vinatuonyesha taswira mbaya sana/ kumbe havina usafi wowote ule!,ni mle mle tu.(Huyu fisadi mdogo,huyu mzoefu,huyu fisadi mpya mwanafunzi)
 
Inasikitisha Sana kijana Kama wewe kutumika na Wana u me wenzako Kama condom Kisha unakuja hapa kujisifu zeroooo kabisa
Wewe si ndo umesema natumika huko Lumumba?!! Nikikuambia kuwa mi nipo kivyangu tu hautoamini hivyo nimekuachia uongozi katika hilo.
Enhe; vp wewe, haupo hapa kama matumizi tu ya kina heche?!!!
 
Hivi vyama tunavyovitegemea vinatuonyesha taswira mbaya sana/ kumbe havina usafi wowote ule!,ni mle mle tu.(Huyu fisadi mdogo,huyu mzoefu,huyu fisadi mpya mwanafunzi)
Wewe CHAWA wa ccm,
chawa wa mama,
uvccm,
Mtetezi wa watekaji,
Mtetezi wa wafiraji,

Mtetezi wa wauaji wa wananchi wanyonge wasio na hatia.

Mtetezi wa majizi na mafisadi papa ya Tanzania,

Mtetezi wa maovu lukuki ndani ya hiyo Shithole...

Unaitegemea Chadema kwa lipi???
 
Wewe si ndo umesema natumika huko Lumumba?!! Nikikuambia kuwa mi nipo kivyangu tu hautoamini hivyo nimekuachia uongozi katika hilo.
Enhe; vp wewe, haupo hapa kama matumizi tu ya kina heche?!!!
Mie natumika na watanzania wapenda haki nipo hapa kuyapinga maovu yote ya ccm Kama kuuwa kina Mawazo kule katoro kuteka watu Kama kina Azory Mdude Soka Ben Kangoye nk
 
Mie natumika na watanzania wapenda haki nipo hapa kuyapinga maovu yote ya ccm Kama kuuwa kina Mawazo kule katoro kuteka watu Kama kina Azory Mdude Soka Ben Kangoye nk
Sawa, hivi ni lini ulikemea matusi na shari zingine?!!! Mi pia nipo na watanzania wapenda amani, maendeleo na maelewano.
 
Back
Top Bottom