Mchawi aliyebobea anatakiwa!

Akriiii.....nimeingia nipo hapa.../ ewe mwanadamu nini tatizo lako...lako...lako....lako?...chafya chafya chafya.....pyuuuuu..../
 


Unahangaika wakati mapepo yamejaa makanisani. Wachungaji wote wachawi si ndiyo maana mambo yote ya laana utawakuta nao wao, kuanzia kulawitiana wenyewe kwa wenyewe mpaka kuharibu watoto.
 
Amrogeee au amtibu?!!! Mbona hujui kutofautisha!!!
 
FaizaFoxy mimi sitaki mapepo nataka mtu mwenye uwezo wa kutuma majini, Tena nataka yale majini masafi ili jamaa awe na tabia ya kupenda vitu visafi!!
 
Amrogeee au amtibu?!!! Mbona hujui kutofautisha!!!
Amloge. Kwani wewe unadhani kulogwa ni jambo hasi peke yake hata jambo chanya pia kulogwa kupo!! Wewe hujasikia watu wanasema kuwa uchawi wa mwanamke ni sauti yake? Sasa wanawake hutumia sauti zao kwa jambo baya peke yake?

Lupyeee naomba uje unisaidie natafuta mchawi!!
 
Watakuja, wiki hii walikua wana update knowledge, nadhani kuanzia kesho utawapata na kazi yako itimie
 
Mkuu inabidi uwatafute wale waliyomweka jamaa fulani chooni bila kujijuaa...

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] nilijua tu sitasalimika kwenye hii post
Teh teh teh!
Kuwafahamu siyo kosa mkuu, kushiriki shughuli zao za kichawi ndio inaweza kuleta ukakasi wa kimaadili.

Naamini hata kuwapa kazi ya kufanya kwa niaba yao wenyewe haiwezi kuwa kosa kiiiivyo!!! Ukizingatia aina ya ugonjwa wa mgonjwa aliyeripotiwa na mleta uzi.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] watu siku hizi wanapotea kimyakimya
 
Maana bado inabaki palepale. Kuroga ni kuathiri kitu/mtu mzima,kutibu ni kuondoa tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…