Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Uchawi (Witchcraft) upo Dunia nzima, hata kwa wazungu. Kuna various literatures on magicWazungu watadata maana biashara zao zitadoda
Mteja gan kavutwa hapo ,umeona namba za simu au tangazo lolote la kibiasharaScripted hiyo kuvuta wateja
subiri kuanzia kesho utapata majibu usiwe na haraka mkuuMteja gan kavutwa hapo ,umeona namba za simu au tangazo lolote la kibiashara
Mwezi mmoja tutasikia unaanzisha kanisa, acha maigizo.Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Huyo injinia ashukuru vijana wauza nyanya walichomoa betri na kutambaa nalo.La sivyo mtambo ungelipuka.Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Usanii TU ili igeuzwe fursa [emoji12]Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
subiri kuanzia kesho utapata majibu usiwe na haraka mkuu
Yote yanawezekana upande,umpande.Mi nataka kupanda ndege ya kiafrika bhana!! Hao misukule nikiwaona nitathibitisha vipi kwamba ni misukule au wachawi?
Simple research ya kujua yote hayo,nitumie majina yako mawili,ufanywe msukule siku ya sita unatolewa kifungoni.Yote yanawezekana upande,umpande.
Basi nimejikuta nakufananisha nae😂Hahahhahaaa aliyekwambia huyo ni mm nan
Huyo dada kajaa vizur sana,ningekua mimi ningeenda kumuogesha fresh,nampiga lotion ya hatari,nampa supu ya nguvu na K vant ndogo arestart ubongo then najifungia nae ndani siku tatu tunakula maisha.Yaani kwa staili hiyo aliyolala ningempandia hapohapo juu ili nioshe rungu kabla watu hawajafika