Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
- Thread starter
-
- #61
Ww ni mchawi?Hakuna kitu kama hicho kwanza Mchawi akisafiri usiku mwili wake anauacha kitandani kwake roho ndio inayo paa..Hiyo ni cinema.hakunaga kitu kama hicho
Hi Ni cinema tu.Mchawi akitaka kupaa usiku mwili wake anauacha kitandani. Kinacho paa ni kivuli chake ambacho hakina mwili wa nyama.Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
kajipaka dawa hizoMweusiiiiiii
Nimewahi tangaza hadi dau mtu aje kunikaba nikiwa ninefunga mlango..Endeleen kutoamin mpaka waje wawakabe kwanza,
Wabena Mungu anawaona.Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Baadae mtaweka namba za simu za mganga, igizo tu hili
Watu wapo location kushoot movie mpya ya bongo.Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Ili uwe kitu kizuri tuutumiaje
Yaani kwa staili hiyo aliyolala ningempandia hapohapo juu ili nioshe rungu kabla watu hawajafika
Tunaweza tumia kusafirisha wagonjwa mahututi harakaKamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !
Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mgongo wazi ina onesha chombo kina heating system.
Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, unaweza kwenda shambulia popote pale duniani.
Haha.! Watu wanatafuta ulaji.Baadae mtaweka namba za simu za mganga, igizo tu hili
aisee.... Ukifikiria sana unaweza changanyikiwa aisee..Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.