Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole


Mkuu,
Weye huwezi bishana na mtu yeyote chini ya jua kwa habari hii uliyo andika. Nachotamani kukufundisha hapa ni kuwa, Hata pepo la mafua tu halitoki kwa kuliamuru kuwa litoke kwa damu ya Yesu. Weye katika wapuuzi naona unaongoza. Weye katika waliopotoka pia unaongoza.
Sijui kama unaelewa hata maana ya Mtume. Sijui hata kama unamuelewa huyo Yesu ni nani. Acha kabisa kubishana usilo lijua. Tafuta maneno mengine lakini si juu ya hili. Yesu ni Mtume wa Mungu na atabaki kuwa hivyo. Kuwa Mtume hakujamwondolea nafasi yake kama Mwana wa Mungu aliye hai.
 
Wachaaaaaaa :hand: hebu lete "Ekotiteeeeee" :wink1: tuaminii.
 

Sidhani kama kuna mtu mpumbavu na mjinga kama wewe, na bahati mbaya kwako ni kuwa hujawahi ktk maisha kuombea yako kuombea hata mgonjwa mmoja, na hata kumgusa na kutowesha mapepo kwa mtu aliye demon possessed,, na neno la Mungu halipo ndani yako, mtu mwenye neno la Mungu ndani yake hawezi kusema eti damu ya Yesu haitoi hata mafua tu, wewe ni hayawani mshika dini na siyo mtu anayejua neno neno la Mungu, nenda zako pepo wewe.
 

Mkuu;
Leo nimeamini kuwa ,apepo yamo humu humu jf. Yaan Memo limaposema; Shetani hujigeuza malaika wa nuru leo neno limetimia full. Weye nawe unajiona kuwa mtauwa jamani. Hiyo lugha tu ulioandika hapa inaonesha weye ni pepo kabisaaaa.
Ukaombee watu ati; Kwa damu ya Yesu Pepo toka! Litoke, labda ni geni, Pumbaaaaaf
 

Huyo mtendaji kwa nini azue tukio kama hilo,kupinga picca??Au na yeye anajenda yake..au kampenda nini maana umesema ni kasichana.
 



Uongo Uliobobea Kama Si kutukuka Wewe CHENJEU. Kadanganye Wajomba Zako Huko Kijijini Kwenu.
 
Uongo Uliobobea Kama Si kutukuka Wewe CHENJEU. Kadanganye Wajomba Zako Huko Kijijini Kwenu.

Chenjeu ni mama yako mzazi aliyeingia labour na kuzaa toto chawi kubwa kama wewe ,ndo maana unapinga kwa ghadhabu kubwa nguvu ya damu ya Yesu maana unaujua mziki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…