Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,390
- 31,338
Haa! hivi huoni sababu za kwanini walitaka kum-block!!! I mean you don't see it! Mi nadhani tulipaswa tuwashukuru kwa hilo halafu tuwalaumu kwanini hawakukaza uzi.Topical;3504738]JK hakuwekwa na Mkapa wala Nyerere in fact hawa walitaka kum-block asifike mahali..for reasons best known to themselves
Wakuu,Mkapa Kila akitaka kutamka MNF anapata kitu kinaitwa 'guilty conscience'
Tumpongeze kwa kujitambua kuwa yeye ni Kenge na hawezi kuwa katika kundi la Simba