Mchango wa Rais Mkapa katika Mwalimu Nyerere Foundation

Umesahu hii taasisi ya mkapa si mkapa fundation tu bali Ni bill cinton and mkapa. MMja anatsha fedha mwingine anatumia fedha. Na haya mmbo ya HIV parecent ngapi ya matumizi ya hiyo faundation inawenda direct kwenye resecrh za kisayansi za wanaysi wetu hapa Tanzania.

haya mambo ya ukimwi ndiyo wanaleta misadaa kumbe miii ya waafria ndiyo natumika kwanza kwa mjribio ya dawa zao. wakiona safi ndio na wao wanawapa watu wao. hakuna legacy yeyote kwenye mambo ya HIV kwa kufanya semina.

Acha hizo hiyo Mkapa foundation inasaidia madktari kufanya kazi katika maeneo vijijini na mambo mengine ya HIV

Ni msaada mkubwa kwa maisha ya wagonjwa wa HIV na madaktari wetu...

tuambie bac hiyo ya nyerere ina umhimu gani kwa wanadamu, thread pg. 5 hakuna hata mnaazi moja wa st. ametuambia faida yake..
 
Ulitaka achangie taasisi ya mwalimu st nyerere kwa umuhimu gani kwa taifa? jibu swali siyo unazungukazungaka?

Mara mumtuhumu kamuua tena mnataka awachangie nyie watoto wa st. nyerere vipi?
Topical,
Kwangu issue si kwamba nilitaka Mkapa achangie. Issue ni kwamba amejitahidi kuiwekea MNF kauzibe kwa kumshauri Museveni aache kumpa Butiku msaada wa fedha za kuendeshea foundation hiyo. Mwaka 2005 baada ya Salim kurejea kutoka OAU kulikuwa na mpango wa kufanya fund raising nchini kote akizunguka Salim na Butiku kukusanya michango lakini Mkapa na Sumaye wakaweka stop wakihofu kuwa Salim atatumia fund raising hiyo kujijengea umaarufu ili awanie urais.
 
Ni two personalities hiyo ndiotofauti

JK hakuwekwa na Mkapa wala Nyerere in fact hawa walitaka kum-block asifikemahali..for reasons best known to themselves..

Wheather JK is a mental case is irrelevant in this case..nani kamuua nyereretopic??

aliyemuua Nyerere ni Kikwete!

Kikwete alijua Hatakiwi na Nyerere na Mkapa , akaona akimuua Nyerere mkapa hanaujanja!!

au unafikiri kwa nini Mkapa ambaye alipigiwa debe na Nyerere amuue Nyerere nasio Kikwete ambaye ameutafuta urais kwa zaidi ya miaka 10 asiwe ndiye aliyemuuaNyerere

Nyerere alionyesha wazi na alisema wazi bado Kikwete ni mdogo? unafikirialikuwa mdogo ki-ukweli??

mimi nadhani (kwa maelezo yako) naona Kikwete ndiye aliyemuua Nyerere auunasemaje??

 
Topical,
Kwangu issue si kwamba nilitaka Mkapa achangie. Issue ni kwamba amejitahidi kuiwekea MNF kauzibe kwa kumshauri Museveni aache kumpa Butiku msaada wa fedha za kuendeshea foundation hiyo. Mwaka 2005 baada ya Salim kurejea kutoka OAU kulikuwa na mpango wa kufanya fund raising nchini kote akizunguka Salim na Butiku kukusanya michango lakini Mkapa na Sumaye wakaweka stop wakihofu kuwa Salim atatumia fund raising hiyo kujijengea umaarufu ili awanie urais.

hiyo proof iko wapi? kuwa Mkapa alimwekea kauzibe museven asichangie? halafu urais wa Salim ulikuwa unawaharibia vipi akina Mapa, huku habari zikizagaa kuwa Mkapa alimtaka salim??
 
Acha hizo hiyo Mkapa foundation inasaidia madktari kufanya kazi katika maeneo vijijini na mambo mengine ya HIV

Ni msaada mkubwa kwa maisha ya wagonjwa wa HIV na madaktari wetu...

tuambie bac hiyo ya nyerere ina umhimu gani kwa wanadamu, thread pg. 5 hakuna hata mnaazi moja wa st. ametuambia faida yake..

na manesi pia
 
Ukaribu wake ulikuwa kimaslahi tu mkuu.Hili linadhihirika vizuri tu,alipotangulia mbele ya haki Mwenzetu akaanza kasi ya kutisha KIWIRA,ANBEN hadi alipohitimisha na EPA

Ni njaa tu na kujibaraguza lakini hawakuwa wanashare the common thoughts! Mkapa ni bepari wa zama hizi za sasa na Nyerere wapi na wapi?Labda kama angetaka kuboresha mambo yaliyokuwa siyo sahihi enmzi za Nyerere ningemuelewa..yeye ni kama aliyapinga yooote kabisa. Alikutana na marafiki wapya...Labda kama Nyerere naye angelikuwa ni muumini au mjumbe wa ile kitu wanaiitwa British Legion, where the big guys in town meet.
 
Hivi nilisikia mahari Mwalimu Nyerere hata pesa za kujega Mjengo wanaotaka kuuweka hapa mjini zimetoka kwa marafiki zake wa nje kama madela, museveni Nk?
 
- Foundation walianza kujiingiza kwenye politics za Taifa ndio Mkapa akaacha kuwapa hela ambazo alikwua akiwapa, Shillingi Millioni 300 kwa mwaka,makosa yalikuwa yao wenyewe Foundation!

- Mnyonge mnyongeni!

Es!
 
Topical,
Kwangu issue si kwamba nilitaka Mkapa achangie. Issue ni kwamba amejitahidi kuiwekea MNF kauzibe kwa kumshauri Museveni aache kumpa Butiku msaada wa fedha za kuendeshea foundation hiyo. Mwaka 2005 baada ya Salim kurejea kutoka OAU kulikuwa na mpango wa kufanya fund raising nchini kote akizunguka Salim na Butiku kukusanya michango lakini Mkapa na Sumaye wakaweka stop wakihofu kuwa Salim atatumia fund raising hiyo kujijengea umaarufu ili awanie urais.

- Mkuu wangu Foundation kwanza walianza kumkomoa Mkapa kwa kupeleka sherehe za Mwalimu, Bungeni Uganda waliporudi Butiku akaanza kwenda Vijijini kuwasikiliza wananchi huku akitukana serikali, ndio pale akawa ameenda too far washauri wa Mkapa wakamwambia enough, ingawa Mkapa alikataa sana mawaidha ya washauri wake lakini ni Butiku mwenyewe aliyemlazimisha kusitisha msaada, tatizo ni Foundation walitaka kujiingiza kwenye kaumua nani anafaa na nani hafai kwua kiongozi wetu!

Es!
 
huwa nalivizia sana pale njiapanda magamba (coast) ili nimrushie mayai viza, sijui huwa anapita saangapi pale, dah! kiukweli lushoto tumeingiliwa na kirusi...........


Pole mkuu lakini ndio hivyo tena tuna jirani mbaya!
 
Mkapa ,Balozi Mpungwe hawezi kukwepa lawama na tuhuma hizi......Why Mpungwe was seen celebrating after news of Mwalimu death broke while in South Africa???
Maisha yao yalishamiri ghafla baada ya kifo cha Mwalimu,Why???!!!
 
Mtu kama Museven ukiniambia alikuwa karibu na mwl nitakuelewa, ila si Mkapa.
 
Ni two personalities hiyo ndio tofauti

JK hakuwekwa na Mkapa wala Nyerere in fact hawa walitaka kum-block asifike mahali..for reasons best known to themselves..

Wheather JK is a mental case is irrelevant in this case..nani kamuua nyerere topic??

Mkweree aliwekwa na Mkapa madarakani bila Mkapa kupindisha taratibu za uchaguzi pale Chimwaga , huyu mkweree asingepata uteuzi!! Mara zote uozo wa mkweree ulipotaka kutolewa kwenye vikao vya juu vya chama Mkapa hakuruhusu ; ripoti ya tume ya maadili ya wakina mzee Sozigwa na Mhando haikujadiliwa kabisa na cc juu ya uadilifu wa Jakaya kwani Mkapa hakuruhusu ijadiliwe!! Hata juzi kwenye NEC wakati Lowassa anamvua nguo juu ya uelewa wake wa ufisadi wa Richmond,ilikuwa Mkapa aliyemshauri asitishe majadiliano kwani wajumbe walikwisha jipanga kumuadabisha!!
 
Kumbe ulitaka Mkapa aichangie nini?

Na kwa umuhimu upi kwa Taifa?

Unakimbiakimbia nini wewe, nitajie umuhimu wake hapa kwa taifa "comparative"??

Mkapa toka mwanzo alikuwa na msaada kwa MNF lakini wakina Butiku na hasa Butiku mwenyewe ndio alikuwa chanzo cha serikali kuiangalia MNF kwa jicho kali!! Kama mnakumbuka MNF ndio walikuwa wanaratibu mazungumzo ya amani ya Burundi chini ya usuluhishi wa Mzee Mandela, wakati wa usuluhishi ule fedha nyingi zilipotea chini ya uangalizi wa MNF; na fedha hizi zilikuwa zinapitia wizara ya mambo ya nje kwenda kwenye hiyo taasisi. Upotevu wa fedha hizi uliifanya serikali iwe na kigugumizi cha kuisaidia because of their lack of credibility!! Ikabidi mpaka uratibu wa mazungumzo ya Burundi upewe makazi mapya. MNF ina tatizo la uongozi; taasisi nyingi duniani za watu maarufu kama mwalimu haziendeshwi kama taasisi za kifamilia na ndio maana zinapata misaada mingi,lakini MNF inaendeshwa na Butiku kama taasisi ya kifamilia na ndio maana haina maendeleo. Nelson Mandela foundation is successful because it is not run by Mandela's relatives but by professionals and that is what the MNF needs.
 
MNF waliwahi kuitisha kikao pale Karimjee cha wadau kutoka sekta mbalimbali kuchangia fedha za ujenzi wa jengo,baadaye siku moja nikasikia Butiku akilalamika kwamba serikali haimpi ushirikiano na huo ulikuwa wakati wa Mkapa tujiulize hivi kweli Mkapa alishindwa kutoa ushauri wa kina kwa taasisi hii ikawa chimbuko la historia ya mwalimu
 
Familia ya mwalimu ikiwakilishwa na Vincent Nyerere tayari wametoa tamko kwamba Mkapa alichangia kifo cha JKN ili apate mwanya wa kupora na kunyakua rasilimali za nchi yetu alizokabidhiwa. Ukaribu wake ulikuwa wa kummaliza na si vinginevyo.

Kwa kweli, Katika hili watanzania tumejifunza dhana ya Kikulacho ki nguoni mwako kwa Machungu na maumivu makubwa sana.
 
Back
Top Bottom