Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.
Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.
Mwnakijiji vipi bana we ulitaka afanye nini ili uone amefanya jambo la kukufurahisha.We hujui kwamba maiti haina rafiki?Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.
Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.
I wonder....kama kweli walikuwa karibu kiasi hiko
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.
Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.
Kuhusu Kikwete naelewa kwa nini hayuko karibu na MNF lakini Mkapa kwa kweli sijui.
Lushoto hapakaliki, kila akitulia anasikia sauti ya Mwalimu kichwani mwake.Angejipumzikia Lushoto pale Mkuzi haya yote yasingejitokeza maana watu wange sahau na kumsamehe yaliyopita.Sasa kiherehere chake na kuropoka kutaweka mengi hadharani ambayo baada ya 2015 hali inaweza kuwa mbaya kwake
Tutasema yote lakini maneno mafupi yanayofaa ni Mkapa alikuwa Bingwa wa unafiki kiasi cha kufanya Mwl Nyerere kumuamini!!! Unafiki wa kufanikiwa kumuhadaa mtu aina ya Nyerere lazima uwe Bingwa wa unafiki haswa!!!Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.
Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.
Kuhusu Kikwete naelewa kwa nini hayuko karibu na MNF lakini Mkapa kwa kweli sijui.
Mwnakijiji vipi bana we ulitaka afanye nini ili uone amefanya jambo la kukufurahisha.We hujui kwamba maiti haina rafiki?