Mchango wa Rais Mkapa katika Mwalimu Nyerere Foundation

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,097
Reaction score
43,309
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.

Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.

Kuhusu Kikwete naelewa kwa nini hayuko karibu na MNF lakini Mkapa kwa kweli sijui.
 
Ukaribu wake ulikuwa kimaslahi tu mkuu.Hili linadhihirika vizuri tu,alipotangulia mbele ya haki Mwenzetu akaanza kasi ya kutisha KIWIRA,ANBEN hadi alipohitimisha na EPA
 
Familia ya mwalimu ikiwakilishwa na Vincent Nyerere tayari wametoa tamko kwamba Mkapa alichangia kifo cha JKN ili apate mwanya wa kupora na kunyakua rasilimali za nchi yetu alizokabidhiwa. Ukaribu wake ulikuwa wa kummaliza na si vinginevyo.
 
Naam, umesema Mwanakijiji.

Sikumbuki ni lini Benjamini Mkapa 'Nyerere' amehudhuria kwenye tukio lolote linahusu Mwl Nyerere Foundation. Wakina Butiku na Salim A. Salim wamekuwa kama punch bag like huyu 'mrithi' ni no-show all the way. Leo anaibukia Arumeru kujadili ukoo wa watu!

Kuna kitu kinaniambia Mkapa haamini kwenye misingi aliyokuwa anasimamia Mwl Nyerere. Actions speak louder! NBC, Net Solution, Kiwira, ANBEN, Bulyanhulu, Tanzanite One .... list ni ndefu.
 
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.

Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.
Mwnakijiji vipi bana we ulitaka afanye nini ili uone amefanya jambo la kukufurahisha.We hujui kwamba maiti haina rafiki?
 
Du Che Nkapa!

Yote haya ni kule kutokubali kutulia baada ya miaka 10 ya utumishi wa umma!
 
I wonder....kama kweli walikuwa karibu kiasi hiko

Hapana, hawakuwa karibu. Ila nyerere alimsaidia sana Mkapa kuukwaa urais.

Nyerere alimpenda sana Mkapa kwa sababu aliamini kuwa ni msafi.

Kinachomponza mkapa ni kupanda jukwaaani akiwa amelewa whisky. Ndiyo maana hawezi kuongea bila kutoa matusi na vitisho kwa wapinzani.

Ushauri wa bure kwake ni kwamba akiwa rais mstaafu angeachana na siasa za majukwaani. Apumzike tu. Anasahau kwamba yeye anaishi kwenye nyumba iliyojengwa kwa vioo. Anategemea nini anapowasema vibaya wapinzani??

Lakini safari hii kapatikana kweli kwa mtoto Vincent. Kwa jinsi lilivyo na kiburi, sikutegemea lingenywea kiasi hiki mbele ya Vincent kiasi cha kuomba suluhu haraka haraka kiasi hiki!!

Namshauri Vincent asikubali suluhu mpaka baada ya uchaguzi. Hili lidubwana limechangia sana kutufikisha hapa tulipo.

Big up Vincent!!
 
Angejipumzikia Lushoto pale Mkuzi haya yote yasingejitokeza maana watu wange sahau na kumsamehe yaliyopita.Sasa kiherehere chake na kuropoka kutaweka mengi hadharani ambayo baada ya 2015 hali inaweza kuwa mbaya kwake
 
Hawezi kuwa karibu na mwalimu coz yeye sio Mama maria,
Mkapa hakupenda kuropoka hili linalomuhusu hayati Mwl Nyerere bali ni jinamizi la Mwalimu Nyerere linamuandama muuaji huyu that why anajikuta anamtajamtaja hayati pasipo hoja ya msingi.
Kila siku mwanangu mdogo alikua akiniuliza kuwa ni nini kilichomuua Baba wa Taifa nikawa nakosa jibu la moja kwa moja ila leo hii Jinamizi la mwalimu lililomkumba Mkapa pale arumeru limereveal the truth so niko tayari kumuonyesha mwanangu muuaji aliye zima mshumaa uliotuangazia nuru njema Tanzania.
 
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.

Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.

Kuhusu Kikwete naelewa kwa nini hayuko karibu na MNF lakini Mkapa kwa kweli sijui.

Natamani sana Kuchangia hapa.Anyway yapo mengi tusiyoyajua.
 
Angejipumzikia Lushoto pale Mkuzi haya yote yasingejitokeza maana watu wange sahau na kumsamehe yaliyopita.Sasa kiherehere chake na kuropoka kutaweka mengi hadharani ambayo baada ya 2015 hali inaweza kuwa mbaya kwake
Lushoto hapakaliki, kila akitulia anasikia sauti ya Mwalimu kichwani mwake.
Mbaya zaidi mayai yake alikaangia chips mayai so hakuna hata wajukuu wakumchangamsha pale hekaluni kwake Lushuto.
 
Damu uliyo imwaga itakusumbua tu, licha kutuibia sana baada ya kufanikisha azma yako, hakika utakufa kwa presha! mi tukikutana uso kwa uso mkapa ntakutukana kuwa we si binadamu. Umetufanyia kitu mbaya watanzania na hakika hatutakusamehe. Shame on you Mkapa.
 
Mkuu MKJJ, naona kuna mengi tu nyuma ya pazia juu ya Mkapa!! Unajua wakati Mwalimu anaugua saaan pale uzanakini, aliwahi kuuliza and I quote "...hivi rais wangu anajua ninaumwa?"

Mzee Ben anajua mengi, nina uhakika dhamira yake inamponza! Msururu wa events baada ya kifo na maziko ya mwalimu yanaweza kuthibitisha motives zake!!!

Ben alikuwa muuaji bana!!! Maana hadi leo stori za Imrani Kombe huwa siiamini!!!
 
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais? Na hata leo hii amefanya nini - hata kuichangia muda na raslimali zake kuijenga? Maana karibu wengi ambao waliwahi kuwa karibu sana na Nyerere wamekuwa ni wadau wakubwa wa taasisi hiyo.

Isije kuwa ukaribu huu ulikuwepo wakati Nyerere alipokuwa hai tu lakini pia haukuwa ukaribu wa kifikra wa kumfanya akubaliane na malengo na nia za MNF.

Kuhusu Kikwete naelewa kwa nini hayuko karibu na MNF lakini Mkapa kwa kweli sijui.
Tutasema yote lakini maneno mafupi yanayofaa ni Mkapa alikuwa Bingwa wa unafiki kiasi cha kufanya Mwl Nyerere kumuamini!!! Unafiki wa kufanikiwa kumuhadaa mtu aina ya Nyerere lazima uwe Bingwa wa unafiki haswa!!!
 
Mkapa kalikoroga mwenyewe, sasa acha alinywe, huyu mzee bado anafikra za utawala wake za watu kuwa mabubu, asidhani watu wanapokuwa wamekaa kimya akadhani hawajui au hawakumbuki madhambi yake
 
Mwnakijiji vipi bana we ulitaka afanye nini ili uone amefanya jambo la kukufurahisha.We hujui kwamba maiti haina rafiki?

its not about kufurahishana mkuu, MMM ameleta hoja nzuri sana hapa!! Mkapa katumia siasa mbofu-mbofu kuingiza jina la Mwalimu wakati yeye amethibitisha unafiki kwa kutenda yasiyoendana na maneno yake, na hii ndio immepelekea maswali hadi issues za kumuua JKN

Binafsi nadhani Mkapa is not doing enough to show how close he is to Nyerere family, si foundation wala si kwa kutoa kauli kama aliyoitoa Arumeru
 
Back
Top Bottom