kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Mkuu madhara yapo bhna, wakati wa kujifungua anaweza kubleed sana na kupoteza maisha, zipo complication nyingi wakati wa uzazi.
Pia huwa hata tendo la ndoa anakuwa hafurahii sana,
Vile vile kuna jamii nyingine huwa zinaweza kuwatenga wanawake wa aina hiyo.
Kijana madhara ya hiyo kitu ni ndogo sana na hata hii ya kujifungua kwa complications ipo kwa cases ndogo . Mimi natokea kwenye jamii ambayo tumechanganyikana sana na wakurya , wale wamama wa zamani wa kikurya wamekeketwa kwa asilimia kubwa lakini wanazaa hadi watoto kumi tena majumbani. Wanawake wanaozaa kwa complications siyo tu waliokeketwa bali hata mjini huku ambako hayo mambo hayapo wanakufa. Kukeketa wanawake si issue ya kiafrika tu na kote huko wanajifungua. Kukeketwa kunapingwa hasa kwasababu inawanyima wanawake haki yao ya kufurahia tendo la ndoa.
Lakini jambo la pili ni kuwa KUKOSA HISIA SI ISSUE YA KUKEKETWA TU hata wanaume wengi wanakosa hisia , inaweza kuwa issue ya kimaumbili, hormones au kisaikolojia. Usimuache huyo binti kwasababu hizo kaka.