Mchango wa mawazo tafadhali...

Mchango wa mawazo tafadhali...

Mkuu madhara yapo bhna, wakati wa kujifungua anaweza kubleed sana na kupoteza maisha, zipo complication nyingi wakati wa uzazi.
Pia huwa hata tendo la ndoa anakuwa hafurahii sana,
Vile vile kuna jamii nyingine huwa zinaweza kuwatenga wanawake wa aina hiyo.
Kwani njia ya kujifungua inahusiana vipi na pale palipokatwa, wakati wa kujifungua kila mwanamke hupoteza damu sasa kwa nini aliyekatwa apoteze zaidi??

Inabidi niende Google aisee
 
Sasa kama target yako ni hicho kidude, ipo siku utakutana nao wenye virefu vimepitiliza mpaka vinaning'inia. Sasa sijui utakuja tena kuomba ushauri umekutana na dume jike.

Hizo mambo wanaume huwa tunakausha, we piga pipe tu, kusisimka au kutokusisimka is not a big deal.
 
Dah....pole mkuu. Pussy bila clito ni sawa na ɓuree....
 
Kwani njia ya kujifungua inahusiana vipi na pale palipokatwa, wakati wa kujifungua kila mwanamke hupoteza damu sasa kwa nini aliyekatwa apoteze zaidi??

Inabidi niende Google aisee
Mara nyingi hushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida maana njia ile inashindwa kutanuka vyema hali inayoweza kupelekea kupoteza damu nyingi zaidi kuliko kawaida!
 
Sasa kama target yako ni hicho kidude, ipo siku utakutana nao wenye virefu vimepitiliza mpaka vinaning'inia. Sasa sijui utakuja tena kuomba ushauri umekutana na dume jike.

Hizo mambo wanaume huwa tunakausha, we piga pipe tu, kusisimka au kutokusisimka is not a big deal.
Mkuu ujue ukeketaji unapigwa sana vita, unajua ni kwa nini?
 
Ukikutana na mwanamke ambae wameondoa hilo jukwaa la wakubwa kunakuwa hamna mzuka huwezi kupiga hata kinanda na sisi wengine wachimba chumvi tunakosa shughuli ya kufanya
 
Ukikutana na mwanamke ambae wameondoa hilo jukwaa la wakubwa kunakuwa hamna mzuka huwezi kupiga hata kinanda na sisi wengine wachimba chumvi tunakosa shughuli ya kufanya
Ni kweli mkuu, yaani panakuwa empty basi mzuka unakuwa si kivile...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom