Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
habari zenu wanajamvi na amani iwe nanyi wakina gudgement,heaven on desert,earth,beauty by nature,bishanga na member wote wa chit chat bila kujali jinsia wa kabila tafadhali naomben ushauri nitawezaje kupata burn coz hili neno nimelisikia mara nyingi hapa jf so nahitaji kuexperience,nitashukuru kwa mchango wowote wa mawazo nawasilisha!!!!!!