Mchango na nafasi ya Asasi za Kiraia kwa Tanzania

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210125_193759_862.jpg

AZAKI zinatoa huduma mbali mbali katika jamii ambazo zinalenga kuboresha maisha na kulinda haki za Watanzania.

AZAKI zimekuwa sauti ya jamii na chachu ya mabadiliko ya kisera na mifumo mbali mbali ya nchi.

Tofauti na makundi mengine AZAKI zimekuwa zikiibua changamoto katika jamii

AZAKI zina ishauri Serikali na vyombo husika namna ya kuzitatua

Wakati mwingine AZAKI zenyewe zimechukua jukumu la kuzitatua changamoto hizo za kijamii kupitia wahisani mbalimbali
 
View attachment 1686061

AZAKi zingine zimegeuka kuwa taasisi za wanaharakati si kwamba zinaishauri seriklai bali zinagombanisha wananchi na serikali yao. Hii ni ka sababu zinapata fedha kutoka nje ya nchi. Kwa mfano, uachnaguzi wa Marekani kuna taasisi zipe zilizoweza hata kukemea zile tabia za uongozi uliotoka. Lakini ingekuwa huku kwetu, mambo yanagekuwa tofauti kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom