Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Hawa watu ni wapumbavu sana. Kama wamesingiziwa si waend mahakamani, wanapokuwa kuleta utetzi wao hapa ni ishara tosha kwamba wanaogopa kwenda mahakamani. Ukweli wanaudhi sana.

Haya na nyie nendeni mahakamani kama mmesingiziwa mlimuua Chacha wangwe.
Soma hapa.

Dunia Nzima inajua kwamba watu hawa wameshiriki kikamilifu kumuondoa DUNIANI aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama CHACHA ZAKAYO WANGWE, Hii haina ubishi kwamba, MBOWE, SLAA na MNYIKA walijaribu mara kadhaa kutaka kumuua CHACHA WANGWE kwa kutumia sumu na kushindwa mpaka walipofanikiwa kumuua kwa ajali ya kutengeneza tarehe 28.7.2008 wakimtumia kijana ambaye Dunia nzima inamjua.
 
Wazee 30 wamerudisha kadi za ccm
 
damu za watu zitamuandama sana !

Kijana,njaa itakupeleka motoni. Lakini kwa mtazamo inaonekana uwezo wako wa kufiri ni mdogo ndio maana hata umekuwa na ujasili wa kusoma,maana najua hujaandika ww bali maccm yamekuandikia na ww kama dodoki umepokea,kazi yako ni kutumwa tumwa hovyo hovyo kwa ujira mdogomdogo.
 
Mkuu sijui kama ulikwenda shule! Na kama kweli ulikwenda nina haki ya kuwasikitikia wazazi wako! Kwa kifupi kasome commemnts za mkuu TIBA hapo. Itakusaidia kujielewa kuwa wewe umejaa oxygen kichwani tu na si zaidi.
 
utumbo at work........, habari ya mjini mbio za uchaguzi chadema washika kasi kila kona nyomi la kutosha bavicha wajitokeza vijana kwa wingi kuchukua fomu.
 
Unajisumbua bure kunitukana bora ujibu hoja za Mchange mkuu na kama huyo tiba ametoa majibu kwenye hoja za mchange weka hapa

Mkuu sijui kama ulikwenda shule! Na kama kweli ulikwenda nina haki ya kuwasikitikia wazazi wako! Kwa kifupi kasome commemnts za mkuu TIBA hapo. Itakusaidia kujielewa kuwa wewe umejaa oxygen kichwani tu na si zaidi.
 
Last edited by a moderator:
hahaha Mwanasheriaaa duu.
 
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.

Laiti mgelijua melishwa changa la Macho hapo? mbinu zenu ccm kupitia act sisi tumeshazijua kwahiyo amtupi shida tena
 
najuta kupoteza muda kusoma hii text ya huyu kilaza Mchange
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona sioni ulipo jibu hoja hata moja ya mchange?

Unajisumbua bure kunitukana bora ujibu hoja za Mchange mkuu na kama huyo tiba ametoa majibu kwenye hoja za mchange weka hapa
Mbo
By Tiba

Mchange yuko upande na anawatumikia CCM, na CCM ndio chama kinachounda serikali. Na kazi ya serikali ni kuhakikisha raia wake wanafuata sheria zilizowekwa. Sasa kama Mchange anawajua waliomuua Chacha Wangwe na ana ushahidi imeishinda nini serikali kuwafungulia mashtaka hao wauaji kwa kutumia ushahidi huo wa Mchange?

Acha kujitoa akili kwa ajili tu ya book 7, tunajua kifo cha Wangwe ulikuwa ni mpango wa CCM kwa kumtumia Mallya baada ya Wangwe kula hela za CCM na kushindwa kuisambaratisha CDM kama alivyoahidi. Kamuulize Makamba huu mpango anaujua kwa karibu, wewe unabwabwaja tu hapa.
na hapa sioni jibu?
 
CDM ndo waasisi wa hizi siasa chafu na ndo zitawamaliza.
Chadema kilianzishwa kwenye misingi ya kilghai so haya yote ni matokeo ya misingi yao.
wapo watu wengi walioumizwa CDM na walikua wanachama watiifu CDM.
Haiwezekani kabisa Slaa akatae hapa JF kua CDM haikuwahi kua na ukomo wa Mwenyeki na ni Mtendaji mkuu wa CDM.
 
Mchange , bana aligombana na Zitto na akapelekwa nyaraka zote za Zitto pale nishati na madini hadi jinsi PAP na Escrow walivyomlipa Zitto kupitia kwa mwanasheria wake .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…