Pasco inakuaje mtu kama wewe unaungana na hawa political failures with cheap politics in this stiff political competition? Au these guys are your type?
Mtu ambaye mpaka sasa anafanya kazi ya ccm ni kijana asiyeaminika maana ccm haina maana yeyote sasa zaidi ya kukaba kila ambacho kinaweza msaidia mtanzania.
Mkuu,
Pasco yupo sahihi, lazima aungane na makada wenzake wa ccm kupitia act. Usisahau kuwa act ni ccm, hata mwenyekiti wake Zitto Kabwe anamuunga mkono Lowassa na ndoto zake
H mchange mnamkuza wenyewe kwenye media.huyu c mtu wa kumjadili hata kidogo ni mpuuzi tu
Mpumba.vu sana huyu mtoto. Mi nakumbuka usiku ule nimetoka Chalinze nikafika kibaha nikapigwa mabomu kumbe lisenge liko ndani lina negotiate Mil 10! Mchange alikuwa rafiki yangu baada ya pale nilimdharau sana
Matusi ya nini kamanda au ndio silaha kuu ya chama?
Kumbe CHACHA aliuwawa? duh!
Pasco mbona hujataja bahasha za kutosha? Maana navyojua wapo watu kwa umaarufu wao wakiita waandishi wao wenyewe hawataki kukosa kwa vile wanajua kuna habari nzito. Lakini Mchange kweli anaweza kuwakalisha waandishi makini kumsikiliza bila vibahasha? Labda uniambie ni waandishi wa Global P.Nkuu Chikutentema, kwanja, achante!. Sifa ya kuita Press Conference ni
1. Uwe na umri wa miaka 18
2. Uwe na akili timamu
Thats all.
Thanks.
Pasco