Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

This is stomach Ballistic bomb. You are warned, beware!
No , which kind of bomb do you mean? I known what am said ,I know Ingradients not by feeling like you or most of others but by professionally, ipo hivi ni juice nzuri kipita zote ulizo wahi taste,usiongee kwa mihemko, kama una dought njoo na hoja kisayansi tuamzie hapo, ?
Ingawaje siyo favorite kwa watu wenye sukari,ulcers,pressure because ya sukari nying, na cocoa ya most of biskut,kwa sababu ita stimulate acidic production kwa wenye ulcers,. Ila ni juice yenye test tamu kupitili Asante
Don't take serious everything but my warning worked as you have said not good for those people having ulcers, blood sugar and blood pressure.
Oky unapoandaa chakula chochote ama kinywaji lazima uangalie aina ya watu unaowalenga, mfano vyakula vya pilipili ni vizuri ila si kwa watu wote, kitimoto the same , so be aware on
 
No , which kind of bomb do you mean? I known what am said ,I know Ingradients not by feeling like you or most of others but by professionally, ipo hivi ni juice nzuri kipita zote ulizo wahi taste,usiongee kwa mihemko, kama una dought njoo na hoja kisayansi tuamzie hapo, ?
Ingawaje siyo favorite kwa watu wenye sukari,ulcers,pressure because ya sukari nying, na cocoa ya most of biskut,kwa sababu ita stimulate acidic production kwa wenye ulcers,. Ila ni juice yenye test tamu kupitili Asante

Oky unapoandaa chakula chochote ama kinywaji lazima uangalie aina ya watu unaowalenga, mfano vyakula vya pilipili ni vizuri ila si kwa watu wote, kitimoto the same , so be aware on
Thank you for the warning.
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Mkuu ninaweza kutumia maziwa mgando?
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Hii niliwahi kutumia ila baadae nikahisi kama mambo ndani ya boksa yanaanza kuvurugika ilibidi nimpigie dem wangu akaja kuokoa jahazi
 
Hii nimeipenda tafadhali , naomba nielekeze inatengenezwaje?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
1: Chukua tende zitoe ile mbegu
2: karanga mbichi robo kikombe
3: maziwa nusu lita (yaliyochemshwa kisha yakapoa)
Weka vyote kwenye blenda kisha blend hadi vilainike kabisa

Nb: idadi ya tende itategemea na wewe upendavyo ukiweka nyingi itakua nzito sana unaweza weka tende 10 kwanza then blend kama nyepesi unaongeza tena tende

Hii juice inashibisha sana
 
Asante sana , haina matatizo kwa mtu mlevi mlevi nisijekunywa nikafa bure ndugu yangu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
1: Chukua tende zitoe ile mbegu
2: karanga mbichi robo kikombe
3: maziwa nusu lita (yaliyochemshwa kisha yakapoa)
Weka vyote kwenye blenda kisha blend hadi vilainike kabisa

Nb: idadi ya tende itategemea na wewe upendavyo ukiweka nyingi itakua nzito sana unaweza weka tende 10 kwanza then blend kama nyepesi unaongeza tena tende

Hii juice inashibisha sana
Blender kama sio zile heavy duty karanga zitasagika vizuri kweli?
 
Back
Top Bottom