Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?


K

kagebuke

Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
11
Likes
5
Points
5
K

kagebuke

Member
Joined Oct 14, 2018
11 5 5
Embe+passion+nanasi+stafery+tikiti maji
kitunguu sumu+karoti+tangawizi =bonge la juice Haina haja ya kuweka sukari
 
hewizet

hewizet

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
1,806
Likes
548
Points
280
hewizet

hewizet

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2013
1,806 548 280
Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.

Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali.
Sio kwa matumizi ya familia tu..hata for commercial purpose.

karibuni!
kwenye like kundi la wadada wenye sura nzito nimekutoa, kumbe unakunywa vitu vizuri aggyjay
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,056
Likes
1,424
Points
280
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,056 1,424 280
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Tiba Mkuu hii. Ni hatari sana. Hahaha
 
R

razaT

New Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
2
Likes
1
Points
5
R

razaT

New Member
Joined Feb 25, 2015
2 1 5
Vp ukichukua
parachch + ndizi + embe + papai

Hapo vp au vinazidi sana, cjawah jaribu vyote hivyo nataka nije kuharibu et.
ndizi ukiweka kwenye juice yeyote ile sharti uitumie ndani ya siku mbili tofauti hutoweza kuinywa itakuwa imebadilika ladha
 

Forum statistics

Threads 1,250,901
Members 481,523
Posts 29,750,193