wana JF nisaidieni. mimi nina kibiashara changu cha mtaani sasa nimekisajiri na nikataka mkopo ili kiweze kuongezeka,nimeambiwa niwasilishe andiko la biashara( naamini ni business plan). mimi sijawahi na sijui kuandika business plan . naomba mwenye mfano wa hiyo anisaidie ili niweze kufanya hivyo na biashara yangu ipendeze. nawasubiri wapioganaji wangu