Mchana mwema wote!!!

Mchana mwema wote!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,962
Mungu apendaye wembamba na wanene warefu na wafupi wazito na wepesi akujalie mchaana mwema
wa siku ya leo na baraka za bwana yesu ziwe juu yako

upendo ni kawaida yangu
chuki si busara kwangu
kuishi na watu vizuri ni sehemu ya maisha yangu
kuwakumbuka niwapendao ni hulka yangu

nakutakia mchana mwema!!
 
Barikiwa mtu wa Mungu! Unahudumu wapi au humu humu JF?
 
Umekula mchana kweli. Wengine matatizo yakiwazidia wanamkumbuka mungu.
 
Back
Top Bottom