Mchana mlikuwa wapi???

Kumbe watongozaji?Mi nlidhani ndugu na marafiki.Waambie wasikupigie au kama una mtu wako muombe apokee yeye uone kama wataendelea!
 
yani kuna hawa watu wanaitwa waharibifu ndio nawaongelea hapa
wao wanafanya juu chini kuvizia uko nyumbani na wife/hubby wako ndo wapige simu
hao watu huwa ni wale either wanakutongoza au uliwakataa
sasa kwa uharibifu wao tu wataanza kuongea mambo sio
na simu ikiita sana hujapokea mwenzio atakuhisi vibaya

hii imetokea na inaendelea kutokea kwa mtu namfahamu
mpaka mkewe hana raha sababu ya hawa viumbe waharibifu
inabidi mume akifika home either azime simu au aweke silent ambayo pia huleta ugomvi
afu akiwaambia waharibifu waache wao ndo wanaona rahaaa eti 'si atoke tu huyo nae vituko vyote hivi yumo tu'..
haaa!!


ni yule yule wa vocha au mwingine? loolz
 
:lol::lol::lol: @ Samora
huyo sio mimi jamani ni mtu namfahamu mwenye mume anayepigiwa simu usiku na vimwana
 
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

Jamani, mchana mlikuwa wapii?
Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?





Kuna watu wengine ni kawaida yao wakishalewa wanaanza kusumbua watu kwa masimu yasiyo na maana,na kwa muda ulioutaja inaonekana ndio asilimia kubwa huwa wanakuwa wameshalewa,hivyo ni bora watu wa hivyo kuwanyaukia tu na kutopokea simu zao na akizidi kukusumbua unamzimia simu kabisaaa,akijaribu mara mbili tatu hatarudia tena wala hakuna haja ya kugombana naye..
 
  • Thanks
Reactions: LD
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

Jamani, mchana mlikuwa wapii?
Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?

hinaweza kuwa wanakuwa bize sana mchana wanapata muda wa kupiga simu usiku (sio usiku sana lakini), kama ni usiku sana na ni mtu fulani tuu basi ana dalili za kukutaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom