Mchana mlikuwa wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchana mlikuwa wapi???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sweetdada, Mar 24, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

  Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

  Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
  Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
  ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
  na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

  Jamani, mchana mlikuwa wapii?
  Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  usipokee hiyo ndo dawa .
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hee, labda wao usiku ndo wanapata nafasi ya kupiga simu, mchana busy si unajua. wakomeshe ni kuwatukana tu, LOL
   
 4. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ila mtu kama huyo unatakiwa umkemee lkn eti anakupigia simu usiku ww unamwonyesha kuwa uko sawa na kesho atarudi, inatakiwa umuonyeshe kuwa kile kitendo alichofanya si kizuri na hatarudia tena!! mwambie sipendi unipigie tena simu usiku.
   
 5. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwanini unaona sawa kupigiwa mchana?
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  huyu ana lake jambo kwa nini mchana sawa usiku no au unamzunguwa laazizi wako?

  Mchana tunakuwa mbele ya mabosi ofisini /kazini so stress fully no wazo tata kichwani
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi apige tu asubuhi mchana jioni.
  Nikitaka kupokea napokea, nisipotaka sipokei pia.
  Kama anakuambia ishu ya maana usiku huo, asikuambie kisa jana hakusema cha maana.

  Inategemea anayekupigia hiyo simu ni nani lakini.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sioni tatizo..pokea akishakujulia hali kama hana cha maana unaaga!
   
 9. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kesho akipiga tena itakuaje? je hili ni suluhisho??
   
 10. B

  Buke Senior Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kiustaarabu, hata bila ya kuwa na mme/mke, simu za usiku zisizokuwa na sababu ya msingi hazina maana. Mtu mwenye busara zake hawezi fanya hivyo, ni muda wa kupumzika.
   
 11. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yani kuna hawa watu wanaitwa waharibifu ndio nawaongelea hapa
  wao wanafanya juu chini kuvizia uko nyumbani na wife/hubby wako ndo wapige simu
  hao watu huwa ni wale either wanakutongoza au uliwakataa
  sasa kwa uharibifu wao tu wataanza kuongea mambo sio
  na simu ikiita sana hujapokea mwenzio atakuhisi vibaya

  hii imetokea na inaendelea kutokea kwa mtu namfahamu
  mpaka mkewe hana raha sababu ya hawa viumbe waharibifu
  inabidi mume akifika home either azime simu au aweke silent ambayo pia huleta ugomvi
  afu akiwaambia waharibifu waache wao ndo wanaona rahaaa eti 'si atoke tu huyo nae vituko vyote hivi yumo tu'..
  haaa!!
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mimi niliwahi kugombana na ndugu zangu kuwa wasinipigie simu mchana huo ni muda kazi nalitumikia taifa na wala sitaki mgeni nyumbani kwangu siku za kazi. Simu unapiga kuanzia saa kumi na moja mpaka saa moja na nusu baada ya hapo sipokei simu na nimezima nasubiri taarifa ya habari na wanajua kabisa unless kuwe na emergency kubwa sana watapiga simu ya ndani yangu nooooooooooo.

  So mimi mchana hapana simu ya urafiki wala ya undugu ni za kazi tu peke yake
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280

  watu hawakurupuki tu kukupigia hayo yatakuwa mazoea uliyowajengea toka kabla hujaoa/olewa
   
 14. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  we na wewee hujatuliaa..kwanini unajua una wife then ugawee number yako kwa kila gal unaemtongozaa,ulimbukeni.pili we ulitegemea nini kumtongoza mwanafunzi ambaye kilaa saa atakusumbua.basi ukiwaa unagawa number mwambiaa kuanzia mida flani usipingee...UZIZIIIIIIII TU
   
 15. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hujui kuwa concentration ya nyege huongezeka usiku?
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hayupo aliyeconclude kuwa we mnoko?
   
 17. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  :lol: B'real hujaelewa mada banaa hebu soma tena vizuri
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha Tuko bana una mambo walisema lakini wamezoea siku hizi
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mwanaume mwenye mmsimamo hata kama ana kazi za nje, ila huyo anaepigiwa atakua hamheshimu mkewe na ndio maana amewapa uhuru kupiga muda wote
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well kama hutaki kabisa wapige marufuku au zima simu!
   
Loading...