Mchakato wa kutafuta jina mbadala la Tanganyika !

Iitwe Kilimamjaro.
Kilimanjaro? hapo ni kuwapa promo ya bure akina mangi.Na kwa jinsi hawa viumbe wanavyopenda ujiko,watapata nguvu mpya ya kudai kujitenga. Bora mara mia ungependekeza iitwe Msoga.
 
\
ahsante sana ma dearest ingawa mdogo wangu platozoom anakusanya sahihi 20 ili nisivae hiyo nguo jamani.

Jamani we platozoom unataka gfsonwin avae nguo gani? Mbona hiyo imempendeza sana na ni ndefu kama ambavyo huwa mnapenda dada zenu wavae? Vipi mmeshachagua jina badala ya Tanzania? Mie langu ni hilo hilo la enzi yaani Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kama umeshawahi kwenda Tanga kuna daraja la safina( nafkiri jina limebadilika) ukiwa unaingia jiji la tanga kuna kibao kikubwa cheupe chenye maandish meusi kinachosomeka TANGANYIKA sasa mimi mpaka leo sijapataga mtu akanielezea vizuri kwanini pale kwenye ule msitu ndipo pamewekwa hiki kibao.
mkuu ni kati ya pongwe na muheza ndo hicho kibao kipo tena upande wa kushoto kutokea muheza.nadhani inaweza ikawa ndio asili ya jina hilo ngoja tuulize then nitakupa reference
 
Ndahani Tafania inatokana na neno tafunwa......Hata na wewe unaweza kupendekeza jina la nchi yetu, sio lazima
kufata mawazo yangu

Boflo kwa hiyo unataka tubadili jina tuitwe "tafunwa" Acha hizo bana, majina gani sasa haya!

If worse comes to the worse, Tanganyika bado ni jina zuri tu!!
 
Jamani we platozoom unataka gfsonwin avae nguo gani? Mbona hiyo imempendeza sana na ni ndefu kama ambavyo huwa mnapenda dada zenu wavae? Vipi mmeshachagua jina badala ya Tanzania? Mie langu ni hilo hilo la enzi yaani Tanganyika.

Wewe huoni inavyobana kishanshude huko nyuma.......unataka aibiwe wakati yuko kwenye everlasting commitment! halafu wewee
 
Kw kweli Tanganyika halifai maana lilitokana na jina la lake Tanganyika ambayo 45% belongs to the Congo, na the remaining 55% ndio wagawane Tanzania, Burundi na Zambia. Itakuaje nchi iitwe jina la Lake ya watu (Mostly Congo)?
What about Tripolitania? ( Nyani Ngabu remember this?)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom