mkuu mwaJ umeona Kilemba cha Mod.@Roulette ?kimenivutia nimemtamani sijuwi atanipa BAN? Amevalia kiarabu utafikiri mtoto wa kiarabu mashallah................ Ramadhani njema Super Moderator Roulette
Kweli MziziMkavu mod Roulette kapendeza sana kilemba chake kipya cha mwezi mtukufu. Ila bana mie sikubaliani nae majina ya nchi yetu anayoyapendekeza na kulikataa jina 'Tanganyika' kwa kigezo cha asilimia ya ukubwa wa ziwa ambayo ni yetu. Ila mod natania tu sikupingi sana usijenipiga ban bure!
Fisadistan kama zitto kabwe alivyowahi kusema sounds good ila bongoland na azania nayo ni matamu pia. Kilimanjaro wachagga watatamba sana. What about bongonia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.