Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Issue ya Kanumba vipi?
Issue ya yule mhubiri kule Moshi kwenye mkutano wake vipi?
Issue ya mkapa 1995 na mv bukoba vipi?
Kuhusu Kanumba, kwani imekuwa ajabu Mtu kufa? Na posmoterm ilifanyika na ikaelezwa alipata brain concursion. Wahubiri wengine hutaka umaarufu tu.

Mv Bukoba ulikuwa ni uzembe wa miaka mingi uliovumiliwa kwa muda mrefu. Meli inajaza kupita uwezo wake na kwa muda mrefu, ilikuwa ni suala la muda tu kuleta maafa. Na hili limesemwa mpaka na mashuhuda. Sawa na ajali ya ghorofa Kariakoo mwaka jana, unaweza kudhani ni taarifa mpya. Miaka kadhaa huko nyuma ilishawahi kutokea ajalali kama hiyo, tume ikaundwa na ikapendekezwa kuvunjwa maghorfa mengi tu, tukakaa kimya na miaka kadhaa baadaye ikatokea ajali.

Waliopo wenyewe kwenye taasisi yao wameeleza vizuri kuhusu Freemason kama Andy Chande. Kuna mahojiano yake na kitabu pia.
 
Back
Top Bottom