Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

New world order ni nini?
mabadiliko makubwa ya mfumo wa kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni duniani, ambapo nguvu za kimataifa, ushawishi, na mfumo wa uongozi hupangwa upya

Wewe haumo chamani wewe umejuaje haya yote kuwa yako hivyo bila shaka?
 
mabadiliko makubwa ya mfumo wa kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni duniani, ambapo nguvu za kimataifa, ushawishi, na mfumo wa uongozi hupangwa upya
Mabadiliko makubwa ya kimfumo yamekuwa yanatokea duniani siku zote.Himaya (Empires) zimekuja na kuanguka Karne zote kuanzia enzi za Babylon empire. Binadamu wamegundia maandishi, silaha na teknolojia za kila aina mpaka sasa enzi za AI, Binadamu wamesogea kutoka biashara za kubadilishana vitu(barter) trade mpaka sasa pesa za kidijitali. Mifumo ya kiuchumi imebadilika kutoka jamii za uwindaji na ukusanyaji matunda mpaka ubepari uliokomaa na ukumonusti.

Kwa kifupi order ya dunia imekuwa inabadilika karne zote, hakuna kitu spesho sana nyakati hizi zaidi tu ya kwamba mabadiliko yanatokea kwa kasi zaidi.
 
mafunzo bora ambayo makanisani si rahisi kuyapata.
Ha Ha Ha 😃, Infact group member hawa, ni ngumu kuwakuta wamekaa kihasara hasara (muda kwao ni jambo kubwa sana)

Freemason wanatakiwa waamini kuwepo kwa Mungu au "Nguvu Kuu" wanayoita G.A.O.T.U - Grand Architect Of The Universe.

Wengi wamejenga dhana ya freemason na ushetani sivyo hivyo!....
 
Sio lazima uwe ndani ya chama cha CCM, CHADEMA, CCP au chama fulani cha ukoo ili kujua yanayoendelea ndani ya hiko chama.
Kuna theories tofauti zinazoelezea freemasonry tofauti na wewe.
Hatujui wako ndani ya chama au nje.

Tujajuaje wewe na wao nani mkweli pasi na shaka?
 
Kuna theories tofauti zinazoelezea freemasonry tofauti na wewe.
Hatujui wako ndani ya chama au nje.

Tujajuaje wewe na wao nani mkweli pasi na shaka?
Kwa nini usikilize theories mbalimbali wakati Freemasons wapo wamehojiwa na vyombo mbalimbali credible na kuna machapisho na vitabu vyao vingi tu vilivyoandikwa na wao wenyewe vikielezea wao ni kikundi cha aina gani.

Wewe kwa nini umechagua kuamini theories zaidi ??
 
Unajuaje kuwa hao wanao hojiwa ndio freemasonry?
Hayo machapisho na vitabu unajuaje kuwa ni vya kweli kutoka kwao?
 
Hakuna mtu aliyewahi kupinga Sir Andy Chande ni Freemason,

Wewe ulijuaje hizo theories nyingine tofauti na wanayosema wakina Andy Chande kuhusu Freemasons ukweli?
Kwanin utumie hakuna mtu aliyewah kupinga? Una uhakika gani kuwa hakuna? Vipi kama hawajajitokeza?

Mimi siko upande wako wala wa wale wengine. Issue hapa nani mkweli, freemasonry ina dhana nyingi
 
Kwanin utumie hakuna mtu aliyewah kupinga? Una uhakika gani kuwa hakuna? Vipi kama hawajajitokeza?

Mimi siko upande wako wala wa wale wengine. Issue hapa nani mkweli, freemasonry ina dhana nyingi
Leta ushahidi wa mtu aliyewahi kupinga Sir Andy Chande kuwa Freemason.

Freemasons sio dhan, ni jambo la wazi linoloweza kuthibitishwa kwa kiasi kikubwa.
 
Havina uhusiano,
Illuminati ni kikundi kilichokuwepo Ujerumani Karne ya 18 na kilitokomezwa na serikali, story zilizopo kuhusu illuminati kwa sasa ni fiction tu.
Inasemwa baadhi ya Wanachama wa freemason Tanzania huweza kutoa sadaka ya kafara ya wapendwa wao,
Mzazi, mwenza, mtoto nk, je na freemason wa ulaya wana huu utaratibu wa kutoa kafara?
Kwa nini kutoa kafara?
 
Nani alisema hayo mambo ya kafara? Kuna mwanachama yeyote wa kweli wa Freemason aliwahi kusema hayo mambo?

Fuatilia mahojiano ya
1. Sir Andy Chande- Kiongozi wa Freemason Africa Mashariki.
2. Ambrose Rachier-Gor Mahia chairman, Kenya
3. Adrian Marsh - (Grand Secretary UK) on Society and Misconceptions
 
Mfumo uko in pyramid shape, unavyozidi kwenda juu ndio taarifa na uhalisia halisi unaonekana...Kama background yako ni ya unyumbuni huwezi kufika juu kabisa kwenye "CAP"....
 
Nani alisema hayo mambo ya kafara? Kuna mwanachama yeyote wa kweli wa Freemason aliwahi kusema hayo mambo?

Fuatilia mahojiano ya
1. Sir Andy Chande- Kiongozi wa Freemason Africa Mashariki.
2. Ambrose Rachier-Gor Mahia chairman, Kenya
3. Adrian Marsh - (Grand Secretary UK) on Society and Misconceptions
Issue ya Kanumba vipi?
Issue ya yule mhubiri kule Moshi kwenye mkutano wake vipi?
Issue ya mkapa 1995 na mv bukoba vipi?
 
Back
Top Bottom