Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Nina swali kidogo mkuu "Tunajua fika kuwa freemansonry ni wapinga kristo au uwepo wa Mungu kwanini waweke vigezo vya kwamba mwombaji awe muumini wa dini yoyote? Ina maana nini hatma yake baada ya maisha ya hapa duniani? They believe after life?
Dini zimeanzishwa na binadamu hazina uhusiano na Mungu.
 
Mchakato wa kujiunga na Freemasonry unafuata utaratibu rasmi na wa hiari, tofauti na dhana za mtaani kwamba watu hualikwa au kulazimishwa.

Hatua Kuu za Kuingizwa Uanachama:

  • Ombi la Hiari ("Ask One to Be One"): Kanuni kuu ya Freemasonry ni kwamba hawamshawishi wala kumshawishi mtu kujiunga. Mtu anayetamani kuwa mwanachama anapaswa kumfuata mwanachama anayemfahamu na kuomba kujiunga mwenyewe.
  • Vigezo vya Mwanzo: Mwombaji lazima awe mwanaume mzima (kawaida miaka 18 au 21 na kuendelea kulingana na eneo), mwenye tabia na sifa nzuri za kimaadili katika jamii, na anayeamini uwepo wa "Mungu" au "Kiumbe Mkuu" (G.A.O.T.U. - Great Architect of the Universe), bila kujali dini yake mahsusi.
  • Uchunguzi (Investigation): Baada ya kuwasilisha fomu ya maombi, kamati ndogo ya Freemasons hukutana na mwombaji pamoja na familia yake ili kumfahamu vizuri, kuchunguza maadili yake, na kuhakikisha anaelewa kuwa uanachama ni wa hiari na hautadhuru majukumu yake ya kifamilia au ya kazi.
  • Kupigiwa Kura (Balloting): Wajumbe wote wa tawi husika (Lodge) hupiga kura ya siri. Mtu anakubaliwa kujiunga ikiwa tu kura zote zitakuwa za ndio bila pingamizi.
  • Sherehe ya Kuingizwa (Initiation Ritual):Mwanachama mpya hupitia sherehe maalum za kimfano na viapo vinavyohusu kutunza siri za kikundi, kuheshimu sheria za nchi, na kujitolea kusaidia jamii. Kupitia sherehe hizi, anapanda ngazi tatu kuu:
    1. Entered Apprentice (Mwanafunzi wa Mwanzo)
    2. Fellowcraft (Fundi wa Kati)
    3. Master Mason (Fundi Mkuu)
ok.🐒
 
Lakini kamwe hutojua utakufa lini na utakufaje
Kwa exprience ya ndugu yangu ambaye yupo humo,nimeshuhudia wakifundishwa namna mbalimbali za ufanyaji kazi wenye bidii kubwa,kulobby opportunity haraka,kutokuwa waoga kukopa bank,jinsi ya kukopa fedha,jinsi ya kutumia kwa umakini mkubwa,jinsi ya kuepuka watu wasio na manufaa kwako,jinsi ya kuzingatia muda wako vizuri,
Ni masomo haswa!sio mchezo,masomo yao mrengo wake mkubwa ni ustawi wa kiuchumi zaidi.
 
Tujiunge fasta
 
Hivi ndo hawa wa dawa ya msalaba ambao wanasifika usukumani Katoro na viunga vyake?
 
Back
Top Bottom