Nyamemba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 845
- 446
*BREAKING NEWS*:
Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wafuasi hao wameshikiliwa na maafisa Wa TAKUKURU na kupelekwa kituo cha police mjini Mbeya.
January Makamba amepiga simu kadhaa kuwaomba takukuru wamuachie kimya kimya ili hili tukio lisijulikane.
Tunaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na tutawaletea taarifa kamili hivi punde