Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
*BREAKING NEWS*:


Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wafuasi hao wameshikiliwa na maafisa Wa TAKUKURU na kupelekwa kituo cha police mjini Mbeya.

January Makamba amepiga simu kadhaa kuwaomba takukuru wamuachie kimya kimya ili hili tukio lisijulikane.

Tunaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na tutawaletea taarifa kamili hivi punde
 
Ni vigumu sana kwa ccm kushinda nafasi yyte ndani ya chama bila kutoa rushwa. Narudia tena kusema ni vigumu sana kushinda uchaguzi ndani ya ccm bila kutoa rushwa.
 
IMG-20171206-WA0282.jpg
. Hii ndio serikali ya Magufuli bana. Na bado, kinachofata ni kuenguliwa katika kinyanganyiro. Na tafadhali sana TAKUKURU msiwatoe hao mpaka uchaguzi upite tarehe 12.12.2017
 
Mtoa taarifa umetoa taarifa yako kishamba na wew huna mamlaka ya kuzungumzia taarifa iliyopo ktk taasisi Fulani bila kibali nyie ndio mkikamatwa ili mtoe ushahid mnaanza kuhaha kutafuta Huduma ya wadau kifupi taarifa yako ni umbea kama umbea mwingine na tutakupuuza
 
Back
Top Bottom