Mchakamchaka/School morning jogging na Nyimbo zake

Mchakamchaka/School morning jogging na Nyimbo zake

Mvua hua haiulizwi , kwanini leo umenyesha! We ukiroana ndiyo umeroa! Si tatizo la mvua!
Tatizo ni wewe kwanini hukua na mwamvuli .

Tunaangalia zaidi maslahi ya taifa. hapa nimeshaahidiwa ukuu wa wilaya moja huko katavi chama ndo mpiganaji wangu
 
Last edited by a moderator:
Dar umenikumbusha enzi hizo tunaimba nyimbo za kiinglish hatujui maana yake 'sikia hii how many days in the week? Tuaitikia kisebene(seven days)

Halafu mpaka leo sijajua maana ya wimbo aliselema hadija

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Back
Top Bottom